Ni jumla ya muungano wa nchi tatu!
Abudhabi. Dubai na Sharja.
Na hakuna mipaka baina ya hizo nchi. Na wote wanatumia Sarafu moja. Na pia Watawala wa nchi hizi WOTE NI UKOO MMOJA.
Nadhani umeelewa.
Nilifikiri ni Muungano wa hao Emir 7 na nchi zao, kumbe ni tatu?
Emirate zao ni: Dubai, Abu Dhabi (Matajiri sana), Sharja, Ajman, Umm al-Quwan, Fujairah na Ras al-Khaimah.
Muungano wa hao EMIR na EMIRATES zao ndiyo inafanya jina la United Arab of Emirates (UAE).
Ila nikubali kuwa nilikuwa nafahamu Dubai na Abu Dhabi pekee na nilikuwa sijawahi kuzisoma hizi nyingine zaidi ya kujua tu kuwa ziko Emirate saba. Asante kwa swali.