Hapo kwenye heater ndio balaa kabisa!!Aisee..kumbe... vipi matumizi ya water heater....pasi..friji nasikia umeme mwingi huw unatumika..nipe ufafanuzi
sawa sawaHapo kwenye heater ndio balaa kabisa!!
Kwa kifupi angalia rated power ya heater ..pasi...friji...au majiko ya umeme!! Zinachukua umeme mkubwa sana!
Heater zina kula sana umeme. Unaweza kufa heater ina Watts 3000.Aisee..kumbe... vipi matumizi ya water heater....pasi..friji nasikia umeme mwingi huw unatumika..nipe ufafanuzi
Unaposema hazili umeme unamaanisha nini?Heater
Pasi hazili umeme maana hazitumiki kwa saa zima mfululizo
Ivi ukitaka kucheki units zilizobaki ni lazima upande kwenye mita uangalie? Au kuna njia ingine??Heater zina kula sana umeme. Unaweza kufa heater ina Watts 3000.
Ki mahesabu,
1kW = 1000Watts
Sasa kama kifaa kina tumia 3000Watts, maana yake ni kuwa Umetumia 3kW. Sasa hii ukizidisha na saa 1. Ina kuwa ni 3kWh ambayo ni sawa na UNIT 3 za umeme.
Na kama kitaa chako kimewaka masaa mawili(2), unazidisha na hizo kW.
I.e 3kW * 2hrs = 6kWh
NB. kW = KiloWatt.
Ni ngumu jua kutowaka two days...ila panels za kisasa zina savaiv hata pakiwa na mwanga tu bila jua!! Ukiwa na system kubwa uta enjoy!aisee mi natumia umeme wa jua wala sisumbuki kivile kasheshe inakuka pale jua lisipo waka siku mbili tu ni hatar [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamna sababu ya kupanda kwenye nguzo utaanguka bure.Ivi ukitaka kucheki units zilizobaki ni lazima upande kwenye mita uangalie? Au kuna njia ingine??