bibliography JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 614 Reaction score 228 Feb 4, 2012 #1 wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer
wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Feb 4, 2012 #2 Kabla jumatatu haijafika, jitahidi ujifunze umakini hasa juu ya majina ya terms. Ni unilEver. Jaribu kupitia website yao na kujua a few stuff about them. Kama ni hapa UNILEVER London, mshahara ni confidential siwezi kukutajia.
Kabla jumatatu haijafika, jitahidi ujifunze umakini hasa juu ya majina ya terms. Ni unilEver. Jaribu kupitia website yao na kujua a few stuff about them. Kama ni hapa UNILEVER London, mshahara ni confidential siwezi kukutajia.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Feb 4, 2012 #3 bibliography said: wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer Click to expand... Frankly speaking. Kama wewe ndie uliyeomba hii kazi, nakuhakikishia HUPATI! Unashindwa hata kuandika Unilever? Halafu ndo uwe nani sijui wa kampuni...
bibliography said: wadau jumatatu naenda kufanya interview hv yniliver wanalipa bei gani kwenye post ya adminstrative officer Click to expand... Frankly speaking. Kama wewe ndie uliyeomba hii kazi, nakuhakikishia HUPATI! Unashindwa hata kuandika Unilever? Halafu ndo uwe nani sijui wa kampuni...