Unijifanya Handsome, hapa lazima ukome

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
278
Ni pale unapodhani Msichana uliyenaye umemnasa na SuperGlue,Hapindui kwako kabisa,unajidai umemuweka kwenye chupa na kwako ni mtakuja Primary School..Unamiss umbua unavyotaka, stress ni part ya maisha yake,kisa tu unajua amekupenda na hawezi kukuacha basi umemtafutia kijikosa uchwara tu ili umpe jamba-jamba ilimradi tu upruv uanaume wako, basi umemnunia mtoto wa watu wiki nzima,anakupigia simu,anajishusha kuomba msamaha,umeuchuna tu na madai yako mara ghala anaacha kukutafuta.

Unaona ameposti Facebook status,"Thank God i found you,maumivu basi tena" Ukadhani utani mara kaposti INSTAGRAM PICTURE na caption,"Sikuwahi kujua how Love feels until I met you,its only one week but it feels like a year,Love you boo# ukaamua kumtafuta next day kumfuata kwake jioni,unamkuta anashushwa na NEW BOO wametoka shopping halafu limepigwa busu refu kuliko Hasheem Thabit.

Lazima jicho likutoke utajihisi umezeeka ghafla na sura yako kama wimbi la uji wa choroko ukipendwa shikamana,huwezijua kuna Mchepuko unaomba kuwa Njia Kuu mwaka wa 5 huu,ukimess up tu unariplesiwa ghafla,We umetania yeye kafanya kweli,umemwaga ugali na yeye kabidua bakuli la mboga na moto kazima kwa maji kabsaaa.

SHIKAMOO MAPENZI!
 
Mwanaume akinuna mi naonaga kama ufyatu, mdomo unavutwaa vishavu vinavimba vinakua kama vipulizo vya Ubarikio....
Yani mwanaume anaenuna ni sawa na......nitamalizia baadae
 
haya ni maigizo unakuna na mtu one week hafu unajifanya uko deep in love
 
Mwanaume akinuna mi naonaga kama ufyatu, mdomo unavutwaa vishavu vinavimba vinakua kama vipulizo vya Ubarikio....
Yani mwanaume anaenuna ni sawa na......nitamalizia baadae
malizia bwana
 
Asl
!
 
Mwanaume akinuna mi naonaga kama ufyatu, mdomo unavutwaa vishavu vinavimba vinakua kama vipulizo vya Ubarikio....
Yani mwanaume anaenuna ni sawa na......nitamalizia baadae

Aibu nimeona mimi....!!
 
Kumbuka wewe ni mbavu tu, ndo maana hatuishiwi mbinu za kuwadanganya, ukiona mwanaume anapelekeshwa na manzi wake ujue bado hajatambua nafasi yake
 
Mwanaume unaanzaje kujinunisha kwa mfano?

Halafu hiyo ya kubabaika na uhendisamu wako ni uboya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…