benja
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 319
- 213
Hivi karibuni serikali kupitia Jeshi lake la Polisi imeanzisha kampeni kabambe ya kutoa 'sport lights' kwenye magari. Naombaa kuulizaa Je Jeshi la Polisi lilitoa muongozo wa kwamba ni taa zipi zing'olewe au ni ku ng'oa ng'oa kama ninavyoshuhudia haapa Mlimani City DDC?? Ni halali kumtoza mtu fine kama spot light hizo zilikuja na gari toka kiwandani na wala sio modification??