Dear Readers especially hawa wanaume,
Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi.
Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na majambazi wakakubaliana mmoja wao. Alale na mwanamke wa jamaa.
So mchizi akaambiwa na majambazi hao aangalie mkewe akiwa mapenzini na jamaa .
Baada ya kumaliza haja zake . Wakaondoka na hawakuchukua lolote. Natokea hapo jamaa akamwambia mkewe waachane hata kama alimuokoa kwa staili hiyo yeye hawezi
sasa ingekuwa wewe ungefanyaje??
Nanimke wa ndoa