Black Rose
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 243
- 171
Sasa mkuu ukienda kuhangaika na wife si utajiongezea misala tu! Coz yule anaekukimbiza atajua kama huyo ni wife wako as atakukuta pale mnavutana, sasa huwezi jua je akitaka kukulipizia kwa mkeo afu we akusamehe? So mi hapo ntakimbia tu ila nitaukariri huo mtaa niliomfuma wife, nkifika hom na kupoa wife akirudi atanikuta nshapoa mixer nmechange nguo ndo tutaanza mahojiano!
Ataipenda, ntamtajia hadi mtaa nilipomfuma na beat kibao "mi nina wapelelezi kila kona, mi nakuangalia tu kila siku"
hapo vipi? Nalog off lol
Hahahaha ndugu unakuwa umeununua ugomvi mwengine mpya,kwahiyo unazidi kujiongezea matatizo. Nalog offwazinzi bwana!!! Unaacha kuikimbia dhambi ya zinaa unabaki kukimbia panga?
Back to your question:-
naendelea kukimbia nikifika kwa jamaa anae mla denda mke wangu, namzaba bonge la mbata, halafu naendelea kukimbia.
Ila huyo anayemla denda mke wangu atajua nimerukwa na akili, maana nitakuwa uchi wa mnyama baada ya fumanizi.
Yeye atainuka kutoka hapo chini, na kuendelea kumla denda my mama watoto wangu.
Hapo poa. Nalog offSasa mkuu ukienda kuhangaika na wife si utajiongezea misala tu! Coz yule anaekukimbiza atajua kama huyo ni wife wako as atakukuta pale mnavutana, sasa huwezi jua je akitaka kukulipizia kwa mkeo afu we akusamehe? So mi hapo ntakimbia tu ila nitaukariri huo mtaa niliomfuma wife, nkifika hom na kupoa wife akirudi atanikuta nshapoa mixer nmechange nguo ndo tutaanza mahojiano!
Ataipenda, ntamtajia hadi mtaa nilipomfuma na beat kibao "mi nina wapelelezi kila kona, mi nakuangalia tu kila siku"
hapo vipi? Nalog off lol
Ingekuwa mimi ni man, ningesahau nafukuzwa ili nikamshughulikie mgoni wangu!
Ndivyo wanaume wanavyofikiria kuwa wanaweza kula vya watu ila vyao haviguswi lol
Utakuwa mpole wewe utaacha lakini yeye ataendelea. Nalog offSitamgusa hata akirudi home kwan yy amelipa denda kwa ngono kamili! Simuachi ila ndo mwisho kumendea wake za watu!
Ujana unawaponza,kila ukionacho wataka kiwe chako,kila usikiacho,wataka kukiona kwa macho. Nalog offsasa hiyo familia ya wazinzi walioana kushare kodi ya nyumba tu au nini, coz wote wanaonekana hawaridhiki ndani kwao::Ni bora waachane tu kwa kuwa wote hawakupata muda wakutosha kabla ya kuishi pamoja siyo kuoana, wakangonoike huko mitaani siku wakichoka warudi waoane ndoa ya ukweli,
Nimepita tu
Analipa hapahapa duniani. Nalog offHili swali lakiume zaidi, ila kwa muonekano naona haviingiliani, we ulie fumaniwa ingekua imekula kwako hata ungeenda kulianzisha kwa mwizi wako, usingeliepuka panga la ulie muibia bora uendelee kuzifukua mbio. Maana umekula cha mwenzio acha na chako kiliwe.
Utampaje soo wakati we mwenyewe umefumaniwa? Nalog offhe he he ntaendelea kukimbia hila lazima nijipitishe hapo anapoliwa denda wife ili ajue huko nyumbani kutakuwa na soo linamsubiri
Aminia na ikiwezekana fagilia. Nalog offdenda kitu gani!!we ulikuwa unajisevia kiukweli ijekuwa yeye denda? yaani kama ilikuwa low unagonga high
Vipi mume wake kasafiri nini? Nalog offMbinu za mapambano hupatikana kwenye uwanja wa mapambano; siku nitakapofumaniwa na mimi kufunia (what a coincidence!) ndo nitajua la kufanya. Btw, sitarajii kufumaniwa hivi karibuni!
Mkuu ushawakimbiza teyari! Nalog offWanaume wanaochukuwa wake za watu, nitawajua leo kupitia huu uzi.................... Haya leteni maujanja, eh mngefanyaje vile!?
Inauma sana ukimfumania mke wako. Nalog offHapo kwenye black, kuongezea zaidi wamesahau ya kuwa "muosha huoshwa":eyebrows:
Nakuambia nyumbani kutakuwa hakutoshi. Nalog offUkute naye kakuona umekumbatia suruali kwapani unakimbia mibio hiyo bila hata viatu lol....
Sijui utamwambia nini!