1. I hate violence..... it's not justiable to kill someone.... if he or she do you.... It doesn't pay to do him or her back. Take it..
Kwenye mtazamo wangu, hulka yangu toka ndani kwangu sipendi ugomvi na huwa nauepuka sana. Labda kwakuwa sina mahusiano wala familia....
Kwa vyo vyote vile na kwa gharama yoyote ile hasira yangu nitaimaliza kwa kuwatukana walioniudhi au kuwa dharau.
Kisha ntapambana juu chini niwe juu yao kimafanikio na kimaisha na sio ili niwalipizie kisasi laah bali waone mie sio wa size yao.... yulee nawaachia manyoya....
2. Wanasaikolojia wanasema kiwango cha hasira ya mtu ndo kinaeleza huyo mtu ana aina ya ukichaa kwa kiasi gani. Huyo dada licha ya kupandwa na hasira kwa kusalitiwa pia anaonesha ni kiasi gani akili zimemruka hapo na kiwango cha ukichaa alichonacho.
3. It's insane to kill someone for cheating you.... let it go and move on. ... (ni mtazamo wangu si lazima iwe hivyo, though it's fact!!)