kwani ukila tembele utakufa..?Kulalek yaan asingetoka looh khaaa
Nitakinukisha loooh[emoji125] [emoji125]
Balaa kabisa hiyo, yaani Mzee angezugazuga na tembele alafu baadae anachomoka kwenda kula wali nazi na Nyama kwa Chepuko, hatari sana
HahahaHuyu [HASHTAG]#DogoAslay[/HASHTAG] hajaacha upuuzi bado wa kumuumbua baba yake hadharani?
Na huu ndo ulofa na ufala wanafanyaga wengi. Kama umeamua kuwa na chimbo la pembeni, basi toa huduma sawa pande zote, tena nyumba kubwa huduma iwe kubwa zaidi.Balaa kabisa hiyo, yaani Mzee angezugazuga na tembele alafu baadae anachomoka kwenda kula wali nazi na Nyama kwa Chepuko, hatari sana
Well saidNa huu ndo ulofa na ufala wanafanyaga wengi. Kama umeamua kuwa na chimbo la pembeni, basi toa huduma sawa pande zote, tena nyumba kubwa huduma iwe kubwa zaidi.
Na huu ndo ulofa na ufala wanafanyaga wengi. Kama umeamua kuwa na chimbo la pembeni, basi toa huduma sawa pande zote, tena nyumba kubwa huduma iwe kubwa zaidi.