excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,958 Jul 17, 2014 #1 Imagine wewe ni muuza kiepe, unafika kazini asubuhi kwa lengo la kuanza biashara yako, unakutana na hiki kitu! Kaingiaje ingiaje humu kwenye dude la utunzi chipsi? aaargh!
Imagine wewe ni muuza kiepe, unafika kazini asubuhi kwa lengo la kuanza biashara yako, unakutana na hiki kitu! Kaingiaje ingiaje humu kwenye dude la utunzi chipsi? aaargh!
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 975 Reaction score 1,166 Jul 17, 2014 #2 Sasa hyo ni usiku na cio asubuhi!!!
R raydavis New Member Joined Jun 26, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jul 18, 2014 #3 :A S-eek:!!!!!!ningemuamsha mkwanza
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Jul 18, 2014 #4 hahahahahah ningemkaaanga tu lol
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Jul 18, 2014 #5 kama ni mschana namim naingia
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,958 Jul 18, 2014 Thread starter #6 miss neddy said: hahahahahah ningemkaaanga tu lol Click to expand... hahahaaa! kaingiaje? umkaange umle kabisa mama? duh!
miss neddy said: hahahahahah ningemkaaanga tu lol Click to expand... hahahaaa! kaingiaje? umkaange umle kabisa mama? duh!
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,958 Jul 18, 2014 Thread starter #7 Patrickn said: kama ni mschana namim naingia Click to expand... hahahaaa! kumgegeda pat? vipi kama ni mke wa yule mtabiri maarufu?
Patrickn said: kama ni mschana namim naingia Click to expand... hahahaaa! kumgegeda pat? vipi kama ni mke wa yule mtabiri maarufu?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Jul 18, 2014 #8 Excel said: hahahaaa! kaingiaje? umkaange umle kabisa mama? duh! Click to expand... hahaha nisingemla akishababuka kidogo namtoa kikaangoni ndo adhabu yake itakuwa kufa hafi ila cha moto atakiona
Excel said: hahahaaa! kaingiaje? umkaange umle kabisa mama? duh! Click to expand... hahaha nisingemla akishababuka kidogo namtoa kikaangoni ndo adhabu yake itakuwa kufa hafi ila cha moto atakiona
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,936 Reaction score 105,399 Jul 19, 2014 #9 Naita watu waone nilivyoanza mazingaombwe.