Ungekuwa Wewe Ungefanyeje??

Ungekuwa Wewe Ungefanyeje??

Nimeisoma then nikamwomba mungu anisamehe kwa nilichokisoma na kamwe asiipe akili yangu chochote cha kushauri....Hivi hawa watoto wamelaaniwa na nani?

Shetani at his best; hakuna kingine. Na kweli we should be careful on what we read kwani vinakaa akilini kama hakuna misingi imara.
 
Sijui leo imekaaje!!! Sasa wewe huyu msichana wako umegundua kuwa ana mtu anayetembea naye tena kwa kufanyiwa uchafu wa ajabu! Bila aibu badala ya kufikiria ni namna gani huyo msichana wako si mwaminifu ktk mahusiano yenu, na ufanyaje ili ujinge na kujiingiza kwenye matatizo, wewe unafikiria ni jinsi gani utapata nafasi ya kufanya uchafu kama anaofanyiwa na huyo mwenzie badala ya kufikiria madhara ya uhuni unaofanya mkeo! Kaka, tutakuzika muda si mrefu kama hautakuwa na uwezo wa kuchanganua haya mambo ...
Najihisi sina cha kusema ububu umeniingia ghafla...!!!!
tukiendelea kuendekeza kuumia na haya makitu tutakufa siku si zetu!
basi tu hatukomi!
 
Kwahiyo sasa hapa ndipo mulivyo fikia vijana wangu enhee! Bac mupo kwenye mashaka sana hayo mambo sisi babuzenu tuliyasikia kwenye simulizi2 lakini nyinyi munafanya live. Nawausia acheni mambo hayo ( kupita mlango wa uwani )
 
Kweli kazi ipo yaani unafurahia kotoboa jicho hivi.Kweli hii sayari iko mwishoni mwishoni!!khaaa:nono:

sasa ulitaka nifanyeje ndugu yangu mtu nshakwambia kuwa mademu wa kisasa hawa bila kufanya hivyo utakuwa unaibiwa kila siku
 
pole sana kaka,unaambiwa 'ukiwa na kizur ucogope kuibiwa'.kama unataka kuoa bila kuhofia ugonjwa wa moyo tafuta mwanamke wa kawaida yan c mzuri sana ila ni mwenye tabia njema na anamjua mungu, hapo nadhan utawin but kwa huyo utachemsha labda uwe unashnda nae hapohapo ndan
 
pole sana kaka,unaambiwa 'ukiwa na kizur ucogope kuibiwa'.kama unataka kuoa bila kuhofia ugonjwa wa moyo tafuta mwanamke wa kawaida yan c mzuri sana ila ni mwenye tabia njema na anamjua mungu, hapo nadhan utawin but kwa huyo utachemsha labda uwe unashnda nae hapohapo ndan

afadhali ya wewe umesema kweli kidogo.
 
Back
Top Bottom