ungekuwa wewe ungefanyeje?

Mi napambana na nyoka lol bora nife kwa sumu chini sishuki ng'o
 
Ningemwita Yesu na baada ya hapo ungeona wanavyoanza kupigana wenyewe. Hivi jamani hamjuagi miujiza ya Yesu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…