Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Badu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
407
Reaction score
106
Embu niambie mwana jf we ungefanyaje hapo coz gobole umeliacha mbali
 

Attachments

  • Simba.jpg
    32.9 KB · Views: 253
unafumuka na hilo hema lazima atarudi nyuma tu ..hapo unakamata bunduki fasta!
 
Mimi kwanza, naomba Mungu. Kisha mbio usawa bunduki. Kitaeleweka tu.
 
Hapo dawa yake ni kujifanya JOTI na kumchekesha, unatafuta kitu tu unamchekesha kaka simba huku unarudi nyuma nyuma kuchukua gobole lako
 
natunisha mashavu. nakunja mdomo kama nungunungu namrukia shingoi roba kali . nahakikisha hapumui.
 
Neno la kwanza'Shikamoo kaka simba' afu nasubiri matokeo
Baba V umenivunja mbavu! Yaan nilikuwa bado natafakari cha kufanya mara nikakusoma! Lol! Nadhani hata huyo kaka simba mwenyewe angekusikia angecheka sana na kuondoka zake.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka peke yangu chumbani hadi watu wamenishangaa....hahahaha....shikamoo kaka simba?lllhahahaha

Si uongo mkuu, nimecheka sana pia. Siku za hivi karibuni JF Photos imenifanya nitembelee majukwaa mengine kwa kupitapita tu lakini humu nimefika kabisaa. Hasa baada ya wataalam wa picha za vituko akina Mbuzi Mzee kuongezeka.
 
Last edited by a moderator:
natunisha mashavu. nakunja mdomo kama nungunungu namrukia shingoi roba kali . nahakikisha hapumui.

daah!nimecheka niaje..hayo yote unafanya mbele yake na yeye anakuangalia tu its funny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…