Ungekuwa wewe ungefanyaje

PintoG

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
612
731
Katika safari zangu za kutafuta mkate. last week nikiwa ndani ya mkoa wa kigoma, gari letu lilisimamishwa na askali police kwa ajiri ya ukaguzi ikiwemo issue ya wahamiaji haramu, lakini dreva wa wa basi hilo kabla ya kufika kwenye kizuizi hicho alifanya kosa la kutoingia kwenye kituo cha mabasi kilichopo mji mdogo kabla ya kufika hapo.
kwa hiyo ikawa lazima wapigwe faini kwa akiri ya kosa hilo,cha ajabu kondakta akawa mbishi sana kiasi mvutano ukawa mkubwa kati yake na maaskali, kilichotokea sasa kwenye kutoa ile faini, konda aliamua kumrushia kwa hasira askali ile pesa na ikadondoka chini.
UNGEKUWA WEWE NI ASKALI YULE UNGEFANYAJE?
 
Konda hana kosa hapo, kuna abiria mmoja alikuwa mgonjwa alikuwa anawahishwa kwa mganga wa jadi. Hivyo alirusha ili kuokoa muda
 
Back
Top Bottom