Ungekuwa wewe ungefanyaje?

oooh mvaa vimini siwezi hangaika nae kabisa si anajitangaza barabaran kwahiyo mteja mwingine akitokea sio mbaya!!!
 
Kama ni demu wangu mm akinicheka ivo, siku hiyo nitamgegeda mno kuliko siku zingine,mpaka heshima irudi.
 
Nami nitaishia kucheka tu mana akili zake anazijua mwenyewe
 

Mima white cute,

Mkuu,
Duuuh.
 
Kwakwel nimewazaaaaaaaa.nimeona nicheke tuuu maaana akili za Huyo mwanamke ni za hovyo
 
Kwanza unapokuwa na mpenz wako lazima uwe na busara. Usipende ugomvi,lazima ujiulize huyu mwanaume amepataje ujasiri wa kumshika kalio huenda wanajuana. Pia fanya km unafata steps of conflict resolution. Usikimbilie kurusha matusi au ngumi. Ikiwezekana fanya km hujaona. Watakuona fala lkn wataona una busara
 
Hao walikua wanaitwa magangwe enzi hizo za raba mtoni. Siku hizi situation kama hiyo unamletea gari ya polisi ile yenye king'ora nyumbani kwake pamoja na defender iliyojaa maaskari akifika kituoni anafunguliwa mashtaka ya kujaribu kubaka. Unahakikisha hapati dhamana ya polisi na akienda mahakamani ananyimwa dhamana kwasababu ya usalama wake.
 
Kha! nikapigane kwa mtu anae jiuuza, utavaaje kimini barabarani kama sio kujiuza?. wewe hata utiwe dole hiyo juu yako mie nachapa lapa, siwezi kutolewa manundu kwa ajili ya malaya. utavaaje kimini barabarani?
 
Kwani akimshika anaacha alama ya mikono?,alafu sheria ya ngumi unatakiwa kupigana na mtu mnayefanana nguvu.kupigana na mtu aliyekuzidi uwezo ni kujitaftia matatizo tu.
 
Demu wahivyo kwanza atakuwa hana akili kama ni demu mwenye akili mkifika geto anakukanda na maji ya moto kwenye manundu na alafu anakupa mzigo unagonga kisawa sawa full changwe ,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…