Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Ha haha ha hayaaaa Vladimirovich Putin ujue nimeaimuliwa iko kisa meishia kuchekaaaa tuKwasababu atakua ni She asokua na Akili nitamwacha Acheke tu .
Ha ha ha haaaaaa umenichekesha mno mkuuLazma nae aende MOI kuunganisha hayo meno anayonikenulia kwa nyaya,
Ila inaumaaa yahni unamtetea yeye alafu analeta ujinga ..Na mimi nacheka kuua Soo kiaina
kabisa mkuu mambo mengine ni ya kuyasikia tu usiombe yakufike.Mambo mengine ninyi vijana yasikieni tu yakisimuliwa kama wewe mleta Uzi ( Mima white cute, ) ulivyosimuliwa.
Kwa kifupi, usiombe yakutokeee katu maishani mwako.
Namm nmechekaaa ,,tena nmecheka sana hapo mwanamke alipokua anamcheka.Ha haha ha hayaaaa Vladimirovich Putin ujue nimeaimuliwa iko kisa meishia kuchekaaaa tu