Ungekuwa wewe ungefanyaje

Ungekuwa wewe ungefanyaje

jose loth

Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
9
Reaction score
3
Toka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh moja kaniambia hivi una mpango gani !nikamuliza kwa mini umeniuliza hivo akanambia mda was. Kuolewa uxhafika nataka kuolewa nikamwambia poah .nikapata safari ya kikazi nikamwacha huku mi nikiwa nafanya process za posa nikatoa posa na nikatajiwa na mahali ni kwamba in ng'ombe watano nikatoa watatu wakabaki wengne kwa makubaliano tutamalizia baadae yeye akiwa yupo kwao mi nipo dar ilikuwa asbuhi nimeaamka kanipigia simu kanambia tafta mke wa kuoa ambae ni chaguo lako nilipigwa na butwaa nikajiuliza why..... Sijui nifanyeje!!!
 
Sijui watu wengine mpoje mtu amekuokoa na majanga unalia lia mtu anaonekana sio mwaminifu kabisa huyu unamlia na huyo anaetaka muoa walianza mahusiano akiwa bado upo nae kimbia apo kijana acha lilia matatizo
 
Tatizo hapo ni huenda kutokuwa karibu na mpenzi wako...! I mean mikoa mbalimbali paka anafikia hatua kama Hiyo hukuwa na dalili..

Sioni haja ya kumbembeleza saana, kwa vile unaweza kumuoa badae akaanza utata.

Chamsingi fata taratibu halali kadai kilicho haki yako.

Vilevile mshukuru Mungu kwa vile amekuonyesha au amekuepushia matatizo huko badae....

N.b ukiandika next time usiandike herufi 'x' badala ya 's'
 
Shukuru MUNGU kakuepushia balaa, cha kufanya hapo ni kudai ng'ombe wako.. ..
 
jenga zizi faster,ng'ombe halali nje dogo,sasa usililie kachukue ng'ombe uanze maisha
 
Chukua ng'ombe tuanze mradi wa bucha bro... Mungu anakupenda kakuchomoa hapo
 
The stroke of death is as a lovers pinch, Which hurts and is desired
 
"Ukianguka amka jikung'ute vumbi uendelee" sio chaguo lako Hugo. Kadai ng'ombe
 
Toka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh moja kaniambia hivi una mpango gani !nikamuliza kwa mini umeniuliza hivo akanambia mda was. Kuolewa uxhafika nataka kuolewa nikamwambia poah .nikapata safari ya kikazi nikamwacha huku mi nikiwa nafanya process za posa nikatoa posa na nikatajiwa na mahali ni kwamba in ng'ombe watano nikatoa watatu wakabaki wengne kwa makubaliano tutamalizia baadae yeye akiwa yupo kwao mi nipo dar ilikuwa asbuhi nimeaamka kanipigia simu kanambia tafta mke wa kuoa ambae ni chaguo lako nilipigwa na butwaa nikajiuliza why..... Sijui nifanyeje!!!
Ungekuwa ni mtoto wangu ningekunasa vibao ulie zaidi.. pumbaf
 
watu wa mikoani eti wanalia sababu ya mapenzi

mbona hovyo hovyo
 
Pole sana mshkuru sana Mungu haujui nn kakuepusha toka kwahyo mwanamke chakufanya kadai ngombe zako anza upya usiache kumuomba Mungu atakupa mtu aliye sahihi kwako na utamsahau wala usilie kaka
 
Hakuna wahuni huku wa kuwaandikia "x x " Pumbavu
 
Toka nduki@mzee..huyo alikuwa na malengo binafc na isikute alikuuliza unampango gani kumbe tayari alikuwa na mtu wake...
 
Back
Top Bottom