Ungekuwa wewe ungefanyaje

Ungekuwa wewe ungefanyaje

Pole, ndo ishakuwa hivyo tena piga moyo konde ndo ukubwa huo
 
Toka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh moja kaniambia hivi una mpango gani !nikamuliza kwa mini umeniuliza hivo akanambia mda was. Kuolewa uxhafika nataka kuolewa nikamwambia poah .nikapata safari ya kikazi nikamwacha huku mi nikiwa nafanya process za posa nikatoa posa na nikatajiwa na mahali ni kwamba in ng'ombe watano nikatoa watatu wakabaki wengne kwa makubaliano tutamalizia baadae yeye akiwa yupo kwao mi nipo dar ilikuwa asbuhi nimeaamka kanipigia simu kanambia tafta mke wa kuoa ambae ni chaguo lako nilipigwa na butwaa nikajiuliza why..... Sijui nifanyeje!!!
Kaa kimya na ngombe usidai baaaaaaaaas.
 
Kwa maisha ya sasa hivi kama mtu anakufanyia hvyo mapema bas we usidai chochote kile acha tafta kingne bora zaidi ya kile sku moja utakuwa bora zaid yake
 
Mkuu huwa hatutoi chozi tukiondokewa na matatizo kama hayo. Ulitakiwa umpe hongera kwa kuona hafai kuwa na wewe jioni ukutane na vijana mchafue meza siku iishe maisha yaendeleee.
 
Toka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh moja kaniambia hivi una mpango gani !nikamuliza kwa mini umeniuliza hivo akanambia mda was. Kuolewa uxhafika nataka kuolewa nikamwambia poah .nikapata safari ya kikazi nikamwacha huku mi nikiwa nafanya process za posa nikatoa posa na nikatajiwa na mahali ni kwamba in ng'ombe watano nikatoa watatu wakabaki wengne kwa makubaliano tutamalizia baadae yeye akiwa yupo kwao mi nipo dar ilikuwa asbuhi nimeaamka kanipigia simu kanambia tafta mke wa kuoa ambae ni chaguo lako nilipigwa na butwaa nikajiuliza why..... Sijui nifanyeje!!!
Mshukuru Mungu tena katoe sadaka kanisani Kuna kikubwa kakuepushia.
 
hiyo ni bahati ya mtende, heria amekwambia kabla kuliko angekwambia baadae. nenda kachukue vitu vyako anza maisha mapya
 
Ulishindwa nini mtia mimba.!? Mtalia sana.
 
Back
Top Bottom