Ungekuwa wewe Ungefanyaje?

vipi ulimkuna vizuri au ndo zile swaga za mpaka ndoa ndo umvue chupi?
 
Ingekuwa mimi ningetafuta uongo ufananao na ukweli. Haya lala sasa kesho shule.
 
Vile mlivo wepesi wala hatupati tabu yoyote. Tunawaanza tu taratibu
Kuna usemi kwamba shabaha ya mwanamke maamme hakwepi unless huyo mwanamke hajaamua au kuna kitu kingine kitakachozuia otherwise ni kweli akiamua kukupata unaingia nyavu
 
Kuna usemi kwamba shabaha ya mwanamke maamme hakwepi unless huyo mwanamke hajaamua au kuna kitu kingine kitakachozuia otherwise ni kweli akiamua kukupata unaingia nyavu
Mwanamke akikutaka ngumu kuchomoka,labda aamue kukata tamaa mwenyewe kama hajakudhamiria...
 
Kwa mazingira yalivyokua ningefny tu km ulivyofanya maana hamna namna
 
Kaz kwel kwel Tanzania ya viwanda hyo inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…