mnhh pole sana hao ndo wanawake......
akikupenda yeye all laws are irrelevant.....
pole yake mtoa mada,au mkewe aliesalitiwa
Mwaka 2012 march nilihamishwa kikazi kutoka dsm na kuletwa moja ya wilaya za mkoa wa morogoro, muda huo mke wangu alikuwa nyumbani mwanza. katika pitapita zangu nikapata totoz la kipigoro ndo kwanza alikuwa kamaliza chuo (assistant clinical oficer) lugha zikaendana lakini kila mtu akawa wazi kuwa ana mtu wake na wote walikuwa mbali hvo ikafahamika kuwa ni mapenzi tu ya kawaida. Baada ya muda huyu binti akaanza kulalamika eti jamaa yake anamzingua hvo ni bora tufunge naye ndoa mimi nilikataa na kumsisitiza kuwa ninaye ambaye nilishamuahidi na bahati iliyoje tumeshapata na mtoto, demu akataa akasema namdanganya tu na akanitaka niende kwao Mimi nilichomoa indirectly kwa kumuomba tuvute subira ili tujuane vzuri na lengo la kufanya hivi ni kwamba mapenzi yalishanoga kiasi kwamba ningechomoka ghafla lingetokea lolote, cku zimeenda demu akawa amepata nafasi ya kufanya kazi kwa muda kwenye kambi ya hifadhi ya wanyama, baada tu ya kwenda huko akawa ananizuia nisiende eti kisa kuna unafiki sana kumbe mwenzangu wanagegeda ile mbaya na siyo mmoja ni kibao ukizingatia mazngira ya kazi yangu yalichangia kutopata nafasi ya kumtembelea lakini yeye alikuwa akija pale anapohitaji.Mapenzi yalianza kupungua sikujali nikampotezea baadae akawa ameajiriwa rasmi katika hospitali ya wilaya hapo ndo mambo yakanoga tena ile balaaa! baadae mke wangu akawa amekuja nikaona hapa sina cha kufanya zaidi ya kupunguza mahusiano kwa visingizio vya kazi , alinielewa.lakini.kumbe ilikuwa ni nafasi pia kwake kuchepuka, amekuja kufahamu kwamba home kwangu kuna demu ambaye ndo mama mwenye nyumba demu kawa mkali nikamkalisha na kumkumbusha kuwa nilimweleza nina mtu yeye akawa sasa anataka nimfukuze huyu mama mwenye nyumba nimuoe yeye kitu ambacho sikukubaliana nacho bali nikamweleza atulie na amtafute wa kumuoa alichokifanya alitafuta no ya yf akampigia simu na kujitambulisha kuwa yeye ni mke mwenza hivo waonane ili wafahamiane kweli wakafanikiw kufanya hivo. Yf alikasirika sana lakini nashukuru waliyamaliza pasipo manundu mimi nilichofanya nilimweleza yf ilivokuwa na akanielewa sasa yule demu akanza kujitapa hadi kazini mimi nikaona huyu hafai ukizingatia ana vitabia vya uhuni nilichofanya nikampa live kuwa cmtaki kabisa na asinisumbue, alichokifanya akawapigia ndugu zake simu eti mimi nimempotezea muda wake, nilimfanya ki dustbin, sasa nimemkataa. Je kosa langu lilikuwa wapu wakati tulielezana toka mwanzo?. KARIBUNI!
Kuchepuka ni uhuni..kosa unalo tokea mwazo kwahiyo wote ni wahuni wewe pamoja na mchepuko wako na hiyo story mara huyo wa kwanza umuite mkeo mara umwambie huo mchepuko wako ulikuwa na mtu umemuhaidi kumuoa sasa sikuelewi, au unamuita mke sababu mmezaa nae mtoto?
Eti mke kisa alikuwa wa kwanza na yule mwngne ni demu ksa alimkuta mwenzie so hastahili kuitwa mke! Mleta mada bwana! ukistaajabu ya musa.... ya ngoswe tumwachie mazoea
Mkuu wa kwanza ni yf sema pindi naanza kazi dsm na hatimae kuhamia.wilayani tulikuwa hatujawekwa logistics vizuri na pia tulikuwa na takribani mwaka 1 bila kuonana ndo changamoto nyingine iliyonifanya.kuchepuka kupinguza makaliKuchepuka ni uhuni..kosa unalo tokea mwazo kwahiyo wote ni wahuni wewe pamoja na mchepuko wako na hiyo story mara huyo wa kwanza umuite mkeo mara umwambie huo mchepuko wako ulikuwa na mtu umemuhaidi kumuoa sasa sikuelewi, au unamuita mke sababu mmezaa nae mtoto?