ungekua Ww Ungefanya Nn?

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake haraka sana. Unachukua usafiri unaenda kufka mlangoni anakwambia kuwa leo ni birthday yako, unafurah kwa sababu amekumbuka. Kisha anakwambia akufunge kitambaa usoni akufanyie suprise alivyoremba sebureni, unakubal anakuchukua mpaka kweny kochi unakaa, ghafla simu yake inaita chumbani anakuomba samahani aifuate. Akiwa chumbani wewe USHUZI unakubana unaamua kubinua T@k0 na kujamba "puuu" kisha unajikung'uta unatulia. Badae MPENZI wako anakuja kukufungua kitambaa unakuta watu kibao wamekaa kimya seburen wanasubiri kukuimbia "Happy birthday to you". Je, utafanyeje?
 
Nitaimba 'happy birthday to me,happy birthday to me,happy birthday dear ndugu please forgive me'....hapo vp MJOMBA.
 
Hahahhaha umenichekesha sana sana sana lol thanks for making my day

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
MPENZI wako anakupigia simu kuwa uende kwake haraka sana. Unachukua usafiri unaenda kufka mlangoni anakwambia kuwa leo ni birthday yako, unafurah kwa sababu amekumbuka. Kisha anakwambia akufunge kitambaa usoni akufanyie suprise alivyoremba sebureni, unakubal anakuchukua mpaka kweny kochi unakaa, ghafla simu yake inaita chumbani anakuomba samahani aifuate. Akiwa chumbani wewe USHUZI unakubana unaamua kubinua T@k0 na kujamba "puuu" kisha unajikung'uta unatulia. Badae MPENZI wako anakuja kukufungua kitambaa unakuta watu kibao wamekaa kimya seburen wanasubiri kukuimbia "Happy birthday to you". Je, utafanyeje?

nitavunga kibish
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom