Ungefanyaje?

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,546
.
 

Attachments

  • IMG_20200327_075128.jpeg
    20.6 KB · Views: 22
  • IMG_20200327_075304.jpeg
    10.6 KB · Views: 21
  • IMG_20200327_075444.jpeg
    19.2 KB · Views: 21
kama mkeo ni mtu wa maombi mpaka ya kufunga na ww utakuwa mwana maombi maana ndege wanaofanana wanaruka pamoja kwa hiyo si kitu cha ajabu hapo labda kama ww umeingia mlango usiokuhusu kabisa.
 
Hamia kwenye karantini yake upesi mno,kama ni kusali mswali wote!
 
pole sana mkuu ww ulikuwa ni mshika mkia tu unanyanyulia wengine ili wafanye mambo yao poa. na ww ingia katila maombi ya mfungo kama yeye kwani nn ?
 
Toka nianze kudate nae sijawahi kumsikia akisema anafunga..
kama mkeo ni mtu wa maombi mpaka ya kufunga na ww utakuwa mwana maombi maana ndege wanaofanana wanaruka pamoja kwa hiyo si kitu cha ajabu hapo labda kama ww umeingia mlango usiokuhusu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani we umekuja duniani kufanyaje...??
Kama hujui ungefanyaje nikupe ushauri huu katafute mboga mboga anza kuuza upate hela ujenge maisha yako kama hela unazo zalisha zaidi hayo mengine ni nakadharika tu.
Just chill and relax time will tell but don't stop to do what your needed to do.
 
Hili nalitambua mkuu,shukran kwakunikumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…