UNGEFANYAJE

Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
619
Reaction score
599
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo mke wako anakupa box la condom "honey chukua hizi kama ikitokea dharura uta2mia'.

Ukalipokea kwa tabasamu na kusema: asante mke wangu kwa kunijali'.

Wakati unaingia kwenye gari mkeo anakukimbilia' honey naomba pakiti moja huwezi jua naweza nkapata dharura pia".

Vipi utampa...?????
 
Huyo ni Mke au Girlfrend?

Huo mfano huwa unatokea kwa mke mlioshindwana au mlio na bifu sio ubavu wako mnaoshibana na kuelewana.
 
Watu wa namna hii wanapatikana wapi hapa duniani?!
 
kwa hizo akili (in red highlighted words), utampa ndio..
Maana wewe na mke wako mmekutana kopo na mfuniko wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…