Ungefanyaje katika hali kama hii?

Mbona easy tu hapo, nyoka dhaifu Sana unamuua fasta tu unatulia mtini hao mamba na Simba wayakungoja had waondoka wenyewe.
 
Ingekuwa rahisi hivyo basi hata Eva angemla nyoka maana inasemekana alikuwa na asili ya Kichina! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kichina Tena[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…