Ungefanyaje kama ni wewe?(mchepuko)

Mpunga sio kesi. Kesi ni kuwa alimwambia mama ake na sasa nikama ameshindwa kuficha siri maneno yanazagaa sana so hofu yatamfikia mkewe.
Amuamishe mkoa, mbona sisi wengine tunazaidi ya watoto watano nje,na kila mmoja na mama yake, na waifu hajui 😀
 
Amuamishe mkoa, mbona sisi wengine tunazaidi ya watoto watano nje,na kila mmoja na mama yake, na waifu hajui 😀

We noma sana. Sasa itabidi wafanye reconciliation na huyo mchepuko. Na atoa matunzo kweli.
 
Dah iyo ni ngumu kidog lkn inawezekana coz maji yakimwagika hayazoleki kama amepata na watoto ma twin binafsi na suggest jamaa amuoe tu uyo mdad then wife atapangwa tu kistarabu😁
 
Pole yenu
 
Mambo ya watu binafsi sisi huku JFs yatatusaidia nini?
 
Hapa tayari kuna Mtu anaandaliwa kuitwa Single Mother.
 
.....aliachishwa kazi

......qkaondoka Dar
.......siku zimeenda akarudishwa Dar baada ya Boss wake kumtaka arudi.


Anyway, za kuambiwa unachanganya na zako
 
Usibebeshwe machozi ya mwanamke.

Huyo dada atakuklilia sana na machozi hayo yatakutesa.

Anaweza kuhisi wewe ndiye umeshirikiana na mumewe kuoa mke wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…