Ungechukua maamuzi gani?

Last edited by a moderator:
Bora umekuja love atoto alishaanza kusema umeni bwaga.. eti hiyo mada hapo juu imenitokea mimi

Mweeeeh!! Wapi nilisema hivyo? Kwani mna mpango wa kuachana?
 
Last edited by a moderator:
Ni full kushikana mikono, safari inaanza speed 280 kwenda kwa gwajima kuombewa
 
Bora umekuja love atoto alishaanza kusema umeni bwaga.. eti hiyo mada hapo juu imenitokea mimi

Ikitokea hivyo tuna assume tuu kama tumekutana ghafla....

Atakae jistukia imekula kwake
 
Last edited by a moderator:
ntajifanya nilikuwa nakupma tuu kumbe we cyo mwaminifu nilijua tuu kama ww cyo mwaminifu au nnamkimbia tuu
 

Yamekukuta?
 
Au unamwona dada au kaka yako! Aisee cute b umefikiria mbali sana.Mimi ntakachofanya ni kujiondokea taratiiibu nikihakikisha hanioni.
 
Last edited by a moderator:
Au unamwona dada au kaka yako! Aisee cute b umefikiria mbali sana.Mimi ntakachofanya ni kujiondokea taratiiibu nikihakikisha hanioni.

Acha tuu mkuu huku kuzimikia fake id ni hatari sana kwa afya
 
Last edited by a moderator:
Acha tuu mkuu huku kuzimikia fake id ni hatari sana kwa afya

Yaani ni balaa tupu, kuna mtu alikuwa akinitongoza mimi na my friend at the same time, jf full vimbwanga.
 
Yaani ni balaa tupu, kuna mtu alikuwa akinitongoza mimi na my friend at the same time, jf full vimbwanga.

Boys ndivyo walivyo kutongoza tongoza wanajaribu bahat ni wapi itatik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…