Ilishatokea siku za nyuma rafiki angu alikutana na mdada facebook jamaa kuona picha za mdada akadata akachukua namba wakaendelea kuchat. One day wakapanga kukutana sehemu
(wanaishi Tanga wote ) jamaa wakati yupo ndani ya haic anamuwahi mtoto... ndani ya haic akakaa na mtoto mwingine mkali nako akachukua namba..alipotaka kuisave duu ni ya yule wa fb chalii alidata aiseee. Ikabidi a shule faster coz angejiharibia.
Haya mambo yanatokea sana
Hahahaaa pole sana my dear.
Alimpotezea akablock namba yake....
Hahahaaaa!! Uwiii hii nimeipenda aisee, ila bahati nzuri siku hizi kabla hamjaonana mnatumiana picha
Akakosa mautamu kisa kutaman kila kinachovutia
Hehehee eti uzeee.
Sometimes mautamu hunoga unapo ua ndege 2 kwa jiwe 1.
Kumbe unaniona mtoto mwenzio?
Si unaona hata avatar yako imekaa kitoto toto
Ha ha ha boys mna vituko sana..
Mtaka vyote kwa pupa.,.......
Umekutana na mrembo au mwanaume jf..mkazoeana na kupendana kwa pm tuu..
Siku mnaamua kupanga kukutana, mnakubaliana mkutane maeneo fulani, wewe unawahi kufika kabla yake..kwa mbali unaona ni mke au mume wako anakuja kama muhusika......
Vipi ungefanyaje???
Hiyo avata we acha tu yaani, ina historia yake na sina mpango wa kuibadili
Wewe ulifanyaje siku hiyo?
Tuanzie kwako.
Ndio ukumbusho wa baby nin ha ha ha alitumia huyo mdoli kukutongoza
Nilijua tuu kuna watu watahis ni mimi yamenitokea...
Sikufanya chochote maana haikuwa mimi
Basi tuambie huyo mwenyewe alifanyaje, maana hii naona iko based on true story!
Waligegedana hivyo hivyo halafu walivyorudi nyumban kila mtu akakauka kama sio yy
Aaa wapi!
Labda kama walienda wameshavuta bangi.