Ungechukua maamuzi gani?

Hahahahaha ngumu sana

Ina maana usijue mwandiko wa mke wako siku zote mnachat
 
Ilishatokea siku za nyuma rafiki angu alikutana na mdada facebook jamaa kuona picha za mdada akadata akachukua namba wakaendelea kuchat. One day wakapanga kukutana sehemu
(wanaishi Tanga wote ) jamaa wakati yupo ndani ya haic anamuwahi mtoto... ndani ya haic akakaa na mtoto mwingine mkali nako akachukua namba..alipotaka kuisave duu ni ya yule wa fb chalii alidata aiseee. Ikabidi a shule faster coz angejiharibia.

Haya mambo yanatokea sana
 
Appointment kama hizo lazima ziwe na back up plan.
Ziwezi kwenda kuonana na mtu kama huyo bila kuwa na plan B au C.
Ingenitokea mimi ningejidai namsubiri potential client wa biashara zangu.
Na kuonana online siweki namba yangu halisi, namba ya michepuko tu inahusika.
Mke akinikuta nazima simu yenye namba ya michepuko nabaki na line kuu ambayo wife anaijua.
Ila nitatafuta njia ya kumbana wife.
 
Kwamba njia kuu ndio mpango mzima sio...

Aaaah sana tuuu, naanzaje kupatwa na kadhia kama hiyo jamani, yaani cute b yamkute nami na uzee huu yanikute nitaiweka wapi sura yangu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Kwanini umbane sasa wakati wote wachepukaji?
 

Ha haha sasa akampotezea auuu?
 
mwenyewe umejiandaa unasema pengine hata game naweza kuombwa, unakutana na majanga nyege zote zinakuisha *****

Weeeeee zinakata zote na kama dushe iliinuka inapoaa inachapa usingizi
 

Ha ha ha lol kwa hiyo umbane yeye tuu? Anakuambia na yy amemfuata shoga ake ni mhudumu wa hilo eneo
 
Aaaah sana tuuu, naanzaje kupatwa na kadhia kama hiyo jamani, yaani cute b yamkute nami na uzee huu yanikute nitaiweka wapi sura yangu?

Hehehee eti uzeee.
 
Last edited by a moderator:

Mweeh! Mimi tungebanana ngoma iwe droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…