Ungechukua maamuzi gani?

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
16,847
Reaction score
34,303
Umekutana na mrembo au mwanaume jf..mkazoeana na kupendana kwa pm tuu..
Siku mnaamua kupanga kukutana, mnakubaliana mkutane maeneo fulani, wewe unawahi kufika kabla yake..kwa mbali unaona ni mke au mume wako anakuja kama muhusika......
Vipi ungefanyaje???
 
Haahaaa me ntazimia walahii
 
Nitamwambia nilijua tu utakuja. Kumbe ukiitwa sehemu ndiyo zako.
 
Ningejidai sio mimi.
Akija namletea shida.
Sema issue ni na mimi ninefika pale kufanya nini..
 
Hahahha cha kwanza ni kuzima simu then kama hajaniona, Natoka ndukiii. Kama kaniona nazima simu fasta afu najifanya namsubiri shoga angu mmoja

Ila haya mambo unaweza ukadata ukajikuta huna hata la kufanya
 
Ha ha haaa halafu unakuta ww na mume wako kila mtu ana line special kwa michepuko..
Najua atoto hasiti kusema ni mimi yamenikuta..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa halafu unakuta ww na mume wako kila mtu ana line special kwa michepuko..
Najua atoto hasiti kusema ni mimi yamenikuta..

Teh teh teh teh!! Kumbeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
utashindwa kugundua namba ya simu ya mumeo au mkeo. labda muwe mnachat tu pm mpaka siku ya kumeet. ila kuna watu wana namba mia kidogo.

hapo nduki tu maana imeshakuwa noma
 
Mimi nimekumiss tu cute b tokea j2 sijakuona!!!
 
Last edited by a moderator:
utashindwa kugundua namba ya simu ya mumeo au mkeo. labda muwe mnachat tu pm mpaka siku ya kumeet. ila kuna watu wana namba mia kidogo.

hapo nduki tu maana imeshakuwa noma

Kuna namba special kwa michepuko pia kumbuka ha ha ha...
Kama hajakuona ukitoka nduki ndio inanoga ila akikuona ni nomaa
 
Kuna namba special kwa michepuko pia kumbuka ha ha ha...
Kama hajakuona ukitoka nduki ndio inanoga ila akikuona ni nomaa

namba ya michepuko noma sana hahahaha

sigeuki nyuma. sasa utakaa kimya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…