African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
nimefuatilia michango mbalimbali humu JF, wengi wakionekena kukubali nafasi ya pesa/mali katika mapenzi ya siku hizi. Je, niwaulize ninyi wanawake hasa ambao hamjaolewa, ungechague kipi kati ya kuolewa na mwanaume tajiri mke wa pili au kuolewa na asiye na mali kama the only dear wife wake?