Eng kihonza
Member
- Mar 3, 2016
- 41
- 13
Habari watz. samahan natafta mtu wa kuniuzia unga wa sembe na dona kwa bei ya jumla isiyozidi 21,000 kwa mfuko wa kilo 25. nanunua kuazia mifuko 10 mpaka 20. mtaji ukiongezeka nitanunua mpaka mifuko 200. napatikana mbezi mwisho barabara ya kwenda makabe. my no ni 0653 544 123. aksante