Unga wa ngano na unga wa ugali bei moja

Unga wa ngano na unga wa ugali bei moja

online shop

Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
24
Reaction score
28
Hali ya chakula nchini ni ngumu naona sembe na ngano wanauza bei moja kulikoni?
 
Hivi watanzania wengi siku hizi wanakula na kushiba kweli?? Maana maharage tu kilo 3,800. Aya anunue mchele .mchele wa ovyo kabisa kg 1 2,500.bado mafuta ya kupikia bado gesi .hapo familia ni kubwa kilo moja haitoshi.na vipato ndo hivi.
 
We haushibi?
 
Hatari sana!! Hakuna chenye bei nafuu....Ugali moto mboga moto.
 
Hivi watanzania wengi siku hizi wanakula na kushiba kweli?? Maana maharage tu kilo 3,800. Aya anunue mchele .mchele wa ovyo kabisa kg 1 2,500.bado mafuta ya kupikia bado gesi .hapo familia ni kubwa kilo moja haitoshi.na vipato ndo hivi.
Vyakula sio ugali na wali Bali Kuna ndizi, viazi, mhogo nk
 
Back
Top Bottom