Tanzania bado haija amka sana kwenye matumizi mbali mbali ya unga wa mihogo, ndo mana wengi wanauza mihogo shambani, ukitaka usirudi tena shamba wekeza katika kuuza unga wa mihogo, vikundi vingi mimi navijua vimekufa kwa kuuza unga na bidhaa za unga wa mihogo, watanzania hawajui chapatti za unga wa mihogo wanajua chapatti za ngano.