Unga wa lishe

Unga wa lishe

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
UNGA WA LISHE

- Ulezi Kg30
-Maindi kg5
-mtaama Kg5
-Ngano Kg4
-karanga Kg 2
-soya kg 2

Unatoka kilo 50
Ambao ukiweka ktk vifuko vya nusu kilo unatoka vifuko 100..ambazo utauza 2000 each...

JINSI YA KUTENGENEZA-

Ulezi, Ngano, Maindi, na Mtaama Unavipepeta na pia Unavioshaa vizuri Unaakikisha mchanga au uchafu umeishaaa wote..Halafu unawekaa juani hadi vinakaukaa..Peke yake peke yake

Ila Soya unaichemshaa ikipoa unatoa maganda yote Unaoshaa tena kuhakikisha sumu yote imetoka..Halafu unaanika juani..ikauke kabisa...

Karanga- Hizi unazikaanga na kutoaa maganda yotee....japo sio lazima uyatoe yote..

MCHANGANYO IKISHAKAUKA

- Unachanganyaa vyote kwa pamoja hadi vichanganyike Halafu unapelekaa Mashine kusaga...Hakikisha msagaji anasaga mara mbili na sio mara moja hii ni.muhimu sanaa sababu inaepushaa mtumiaji wa unga kuona unga mzito wakati wa kula na kuwa na vitu kama mchanga ktk Unga...

- Ulezi Kg @1 - 2000x30
-Maindi kg@1- 1000x5
-mtaama Kg@1-1800x5
-Ngano Kg@1- 2000x4
-karanga Kg @1-2500x2
-soya kg@1 -2500x2

Total cost-92000

Selling@1- 2000x100= 200,000tsh

Profit 108,000....

Utajiri huu Ukiwa makini....
Acha kukaliaa Sofa kutwaa nzimaa..
Utajiri upo mikononi mwetu....
 
Du hii super acha nijaribu nione for home comsuption , ila hujasemea marketing maana hii ndo issue, maana unaweza tengeneza 50kt na ukatumia miezi 3 kuuza
 
UNGA WA LISHE

- Ulezi Kg30
-Maindi kg5
-mtaama Kg5
-Ngano Kg4
-karanga Kg 2
-soya kg 2

Unatoka kilo 50
Ambao ukiweka ktk vifuko vya nusu kilo unatoka vifuko 100..ambazo utauza 2000 each...

JINSI YA KUTENGENEZA-

Ulezi, Ngano, Maindi, na Mtaama Unavipepeta na pia Unavioshaa vizuri Unaakikisha mchanga au uchafu umeishaaa wote..Halafu unawekaa juani hadi vinakaukaa..Peke yake peke yake

Ila Soya unaichemshaa ikipoa unatoa maganda yote Unaoshaa tena kuhakikisha sumu yote imetoka..Halafu unaanika juani..ikauke kabisa...

Karanga- Hizi unazikaanga na kutoaa maganda yotee....japo sio lazima uyatoe yote..

MCHANGANYO IKISHAKAUKA

- Unachanganyaa vyote kwa pamoja hadi vichanganyike Halafu unapelekaa Mashine kusaga...Hakikisha msagaji anasaga mara mbili na sio mara moja hii ni.muhimu sanaa sababu inaepushaa mtumiaji wa unga kuona unga mzito wakati wa kula na kuwa na vitu kama mchanga ktk Unga...

- Ulezi Kg @1 - 2000x30
-Maindi kg@1- 1000x5
-mtaama Kg@1-1800x5
-Ngano Kg@1- 2000x4
-karanga Kg @1-2500x2
-soya kg@1 -2500x2

Total cost-92000

Selling@1- 2000x100= 200,000tsh

Profit 108,000....

Utajiri huu Ukiwa makini....
Acha kukaliaa Sofa kutwaa nzimaa..
Utajiri upo mikononi mwetu....
Habari njema kwa Wajasiriamali Shukran.
 
Asante kwa muongozo mzuri,hapo kwenye mahitaji ongeza vifungashio..hizo paketi na label za kukutambulisha upateboda zaidi pia matangazo na masoko labda kupelekea watejabwako in gaharama pia ubarikiwe.
 
Subscribed na nafuatilia kwa karibu zaidi,

Hakuna hata mmoja aliyejaribu alete mrejesho
 
Back
Top Bottom