A Administer JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 2,633 Reaction score 2,378 Nov 26, 2022 #1 Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje? Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje? Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 1,130 Reaction score 2,219 Nov 26, 2022 #2 "Mtanikumbuka, Mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri tu na si mabaya"
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,258 Reaction score 8,174 Nov 26, 2022 #3 Na mvua za vuli zilikuwa chini ya kiwango kwa mikoa ya Kaskazini na ukanda wa Pwani. Bei inaweza kushuka kama kanda ya ziwa watavuna vizuri.
Na mvua za vuli zilikuwa chini ya kiwango kwa mikoa ya Kaskazini na ukanda wa Pwani. Bei inaweza kushuka kama kanda ya ziwa watavuna vizuri.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Nov 26, 2022 #4 Kawaida Ukiuziwa kilo tsh 2000 ndio mbaya
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,932 Nov 26, 2022 #5 Sasa si bora ulime tu mahindi ya kula wewe na familia yako Mvua ndio hizi unataka nini tena??
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,258 Reaction score 8,174 Nov 26, 2022 #6 Baba alisema sitaki kusikia mkoa unali njaa, kipindi cha mama kila mkoa unalia msaada wa chakula. Ndo ujue hatari ya nyumba ikiongozwa na mama.
Baba alisema sitaki kusikia mkoa unali njaa, kipindi cha mama kila mkoa unalia msaada wa chakula. Ndo ujue hatari ya nyumba ikiongozwa na mama.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,165 Reaction score 13,429 Nov 26, 2022 #7 Kwetu kwa sasa 25 kg za unga imefika 50k. Tunapitia wakati mgumu hususani sisi wategemea sokoni ili tule
Kwetu kwa sasa 25 kg za unga imefika 50k. Tunapitia wakati mgumu hususani sisi wategemea sokoni ili tule
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,347 Nov 26, 2022 #8 Titakufa na njaa
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,347 Nov 26, 2022 #9 johnthebaptist said: Kawaida Ukiuziwa kilo tsh 2000 ndio mbaya Click to expand... John The Pubtist wewe huoni ubaya wowote uliopo mkuu hata kilo 25 ikiuzwa 100,000/= kwako sawa tu?
johnthebaptist said: Kawaida Ukiuziwa kilo tsh 2000 ndio mbaya Click to expand... John The Pubtist wewe huoni ubaya wowote uliopo mkuu hata kilo 25 ikiuzwa 100,000/= kwako sawa tu?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Nov 26, 2022 #10 Mpetde said: John The Pubtist wewe huoni ubaya wowote uliopo mkuu hata kilo 25 ikiuzwa 100,000/= kwako sawa tu? Click to expand... Mahindi ya Ruzuku kilo tsh 900/=
Mpetde said: John The Pubtist wewe huoni ubaya wowote uliopo mkuu hata kilo 25 ikiuzwa 100,000/= kwako sawa tu? Click to expand... Mahindi ya Ruzuku kilo tsh 900/=
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 5,084 Reaction score 8,347 Nov 26, 2022 #11 johnthebaptist said: Mahindi ya Ruzuku kilo tsh 900/= Click to expand... 900×25 = 22,500/= Si ndio hivyo? Yapo wapi hayo mahindi ya ruzuku watu wakajichotee huko?
johnthebaptist said: Mahindi ya Ruzuku kilo tsh 900/= Click to expand... 900×25 = 22,500/= Si ndio hivyo? Yapo wapi hayo mahindi ya ruzuku watu wakajichotee huko?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,872 Reaction score 119,094 Nov 26, 2022 #12 ahmed albahshahwa said: "Mtanikumbuka, Mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri tu na si mabaya" Click to expand... Unamteua msaidizi dhaifu, huku ukitegemea kutawala milele! Bahati mbaya, karma inafanya kazi yake; halafu unaleta story za mtanikumbuka!! For what!!!
ahmed albahshahwa said: "Mtanikumbuka, Mimi najua mtanikumbuka kwa mazuri tu na si mabaya" Click to expand... Unamteua msaidizi dhaifu, huku ukitegemea kutawala milele! Bahati mbaya, karma inafanya kazi yake; halafu unaleta story za mtanikumbuka!! For what!!!
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,535 Reaction score 21,848 Nov 26, 2022 #13 Mama alisema Watanzania mnapenda vitu vya Bure.
S Ss Jr JF-Expert Member Joined Jan 15, 2018 Posts 577 Reaction score 451 Nov 26, 2022 #14 Mbekenga said: Baba alisema sitaki kusikia mkoa unali njaa, kipindi cha mama kila mkoa unalia msaada wa chakula. Ndo ujue hatari ya nyumba ikiongozwa na mama. Click to expand... Kwani Mama aliwekwa na nani?
Mbekenga said: Baba alisema sitaki kusikia mkoa unali njaa, kipindi cha mama kila mkoa unalia msaada wa chakula. Ndo ujue hatari ya nyumba ikiongozwa na mama. Click to expand... Kwani Mama aliwekwa na nani?
K kitogele MO Member Joined Jun 29, 2020 Posts 43 Reaction score 41 Nov 26, 2022 #15 Ss Jr said: Kwani Mama aliwekwa na nani? Click to expand... Katiba
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Nov 26, 2022 #16 Tafuta hela mkuu, achana na mambo ya kulalamika bei ya unga inapanda
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,288 Nov 26, 2022 #17 tunapiga kura kumchagua kiongozi ili aondoe hizo changamoto za bei za bidhaa mbalimbali lakini WATAWALA WA CCM WANAMAJIBU YA KIHANITHI eti tafuta hela kumbe zile kura zilikuwa za nini
tunapiga kura kumchagua kiongozi ili aondoe hizo changamoto za bei za bidhaa mbalimbali lakini WATAWALA WA CCM WANAMAJIBU YA KIHANITHI eti tafuta hela kumbe zile kura zilikuwa za nini
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 1,130 Reaction score 2,219 Nov 26, 2022 #18 Tate Mkuu said: Unamteua msaidizi dhaifu, huku ukitegemea kutawala milele! Bahati mbaya, karma inafanya kazi yake; halafu unaleta story za mtanikumbuka!! For what!!! Click to expand... Karma ni hii ambayo watz tunapitia kwa kutokumsapoti mzalendo jiwe. Msaidizi nyie si ndio mnamwambia "unaupiga mwingi"
Tate Mkuu said: Unamteua msaidizi dhaifu, huku ukitegemea kutawala milele! Bahati mbaya, karma inafanya kazi yake; halafu unaleta story za mtanikumbuka!! For what!!! Click to expand... Karma ni hii ambayo watz tunapitia kwa kutokumsapoti mzalendo jiwe. Msaidizi nyie si ndio mnamwambia "unaupiga mwingi"
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,982 Reaction score 102,782 Nov 26, 2022 #19 Kosa limefanywa na serikali kuruhusu kuuzwa kwa mahindi nje
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,652 Reaction score 6,701 Nov 26, 2022 #20 Mvua zimeanza kunyesha. Nenda shamba ukalime 'unga wako' mwakani usije kutufokea.