New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,418
- 2,636
nimedownload mpya nayo ivo ivo..ndo imenipa hamasa..Kuna version mpya imetoka Leo....nenda playstore udownload upya.
nawe solution hujapata..I get same thing nd also i run 5.1.1 yangu imatokea baada ya muda mrefu kuperuzi.....nadhani ni bug ya wenyewe insta
Kwani shida inaanzia wapi?nimedownload mpya nayo ivo ivo..ndo imenipa hamasa..
hiyo simu imepatwa na virus ambao ujiingiza baada ya kudanganywa kuwa simu yako ina tatizo la betry hivyo kuiwezesha iwe na nguvu dowload software fulani, au your phone affected by virus please install software to disinfect hapo ndipo wanaindia kama kwao, wanaenda kwenye security wana dissable unknown software verify ili waweze kujinstall kwa njia ya patch, wakisha patch hata ukifuta siku tano uwezi kuwaondoa, hivyo kuna kifaa maalumu cha kuondoa wadudu na ku-repair gapps and apps zilizokufa.wakuu msaada wenu mwenye ufahamu kuhusu hii crash massege..
nime restore lakin wapi..
device yangu ni tecno c5 android 5.1
tatizo lilianza kabla...hata pamoja na ku update leo...Wame update hiyo makitu subiri itakwambia update
ilianza kabla hata pamoja na ku update version mpya leo tatizo liko palepaleKwani shida inaanzia wapi?
softaware gan mkuu itanisaidia kurepare...hiyo simu imepatwa na virus ambao ujiingiza baada ya kudanganywa kuwa simu yako ina tatizo la betry hivyo kuiwezesha iwe na nguvu dowload software fulani, au your phone affected by virus please install software to disinfect hapo ndipo wanaindia kama kwao, wanaenda kwenye security wana dissable unknown software verify ili waweze kujinstall kwa njia ya patch, wakisha patch hata ukifuta siku tano uwezi kuwaondoa, hivyo kuna kifaa maalumu cha kuondoa wadudu na ku-repair gapps and apps zilizokufa.
Dah ujue nilikua nashangaa sana kumbe hii mpya!!!!!!!Kuna version mpya imetoka Leo....nenda playstore udownload upya.
Stubborn Trojan Killer ipo playstore jaribu ikigoma Ipeleke kwa fundi aweke ROM mpya (aiflash)softaware gan mkuu itanisaidia kurepare...
thank u ngoja ni try..Stubborn Trojan Killer ipo playstore jaribu ikigoma Ipeleke kwa fundi aweke ROM mpya (aiflash)
hapa nadhan imegoma hata kwa trojan killer...Stubborn Trojan Killer ipo playstore jaribu ikigoma Ipeleke kwa fundi aweke ROM mpya (aiflash)
daaaah hapo jaribu solution number 2 sababu hata ukihard reset huwaga hao monkey hawaondokihapa nadhan imegoma hata kwa trojan killer...