Unfortunatelly app has stopped....

Hata mm nahuta kununua hii huawei maana yaani nishida inaandika app has stop,Mara time service has stop Mara inaniletea ma app kibao kwenye screen had I nakosa raja kabisa hili tatizo linasababishwa na nn jamani
 

Ndugu mimi nilifanya hivi nikafanikiwa. Sasa hebu na wewe jaribu.

ingia SETTING kisha ingia STORAGE. Kisha fungua All apps(..........................) utaona orodha ya apps zote zilizo kwenye simu yako pamoja na android systeam mbalimbali. Cha kufanya angalia kama utaona some virus anaitwa kitu kama nsb.superuser . uninstall hiyo kitu au idisable. arafu angalia time service then fanya kudisable zote. arafu android systeam zote zidisable ila google service iache kama ilivyo usiiguse. fanya hivyo ndugu kisha zima simu arafu washa. jaribu hiyo tuone kama itasaidia maana mimi simu sasa hivi iko fresh kabisaaaaa jaribu na wewe
 

Sawa ngoja nijaribu na hii
 
Na mimi naongezea hapo, tafuta Anti virus inaitwa Cm securty kisha install na uifanyie scanning hiyo simu matatizo yatakayo bainika bogya resolve all.
Simu itatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…