Unfaithful men have lower IQs

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
2,209
Reaction score
825
 
hahahahahahah!😀😀😀
yaani umeamua KUTUTUKANA MOJA KWA MOJA...!noted
 
...Wa beijing mmeelewa sasa? IQ hazitimii, blame the 'IQ-evolution' sio waume 😀
 
nilijua lazima muisome hiiii!!!!!!!!!!!!!!!

hahaaaaaaaaaaaa lower IQ!!


Najua ni jinsi gani wanawake watakuwa wamefurahia haya yaliyomo kwenye huu utafiti. Huyu mwanamama ana lake jambo. Kama hajakamatishwa mshiko na wanaharakati basi anacheza na psychology. Kwamba unamfanya mtu ajisikie mkosaji (guity) ili ulazimishe hoja zako. Hili la ujinga (may be na upumbavu), IQ ndogo, kumwamini Mungu n.k naamini ni strategy ya kushinda vita.

Kazi bado ipo....., na yatajitokeza mengi tu katika hii vita ya kutafuta siyo tu 50% kwa 50% bali >50%! Huyu mwanamke ni smart sana.🙄🙄
 
...Wa beijing mmeelewa sasa? IQ hazitimii, blame the 'IQ-evolution' sio waume 😀
there you are Mbu!!!


heheeeee imbombongafu!!!
 
...Kazi bado ipo....., na yatajitokeza mengi tu katika hii vita ya kutafuta siyo tu 50% kwa 50% bali >50%! Huyu mwanamke ni smart sana.🙄🙄

...kwani ni mwanamke basi? ni 'njemba' yenye miraba yake minne...basi tu anatujia na hizi 'flawed' assumptions.

Kuna kipindi alisema;

"populations in sub-Saharan Africa are less healthy because they are unintelligent and not because they are poor"
 
...kwani ni mwanamke basi? ni 'njemba' yenye miraba yake minne...basi tu anatujia na hizi 'flawed' assumptions.

Kuna kipindi alisema;

mweeeeh!!!
anabahatisha eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!??
 
e.g.

Bill Clinton and Tiger Woods!
Aama hakika tunaweza kujifunza kwa Bill Clinton na mchapa mikwaju mzuri Tiger woods... ha ha ha ... tafiti nyingine bwana! Mimi najua waosha vinywa wengi watachekelea hili lakini mbona hujaandika kwamba wale wakali wa kichwa lazima wawe na chachandu nyingi, najua umenipata? Angalia Nabii Suleiman, unakumbuka yule malkia wa sheba alipomtembelea!!! Je wamjua Nabii Daudi Mfalme wa Israel alikuwa na wangapi halafu wote hawa wakali kwa busara upanga na kutawala ha ha ha ha hizi tafiti nyingine bwana!!!
 
I now see it clearly, to compensate for their low IQ they sleep around to feel more like men, Teh teh. Psychology 101. Kumbe ndo inferiority complex hawajui tu...
 
lowere AI KYU, LOWER AI KYU, LOWER IKYU
 
namfananisha na Hitler na ideology zake za aryans! What about unfaithful women? is it vice versa?
 
...Wa beijing mmeelewa sasa? IQ hazitimii, blame the 'IQ-evolution' sio waume 😀

hahaaaaaaaaa, i like this one!!! kumbe siku zote hizi tunalaumiana wakati tatizo ni IQ...
 
I now see it clearly, to compensate for their low IQ they sleep around to feel more like men, Teh teh. Psychology 101. Kumbe ndo inferiority complex hawajui tu...
i am just wondering what would be the IQ ya wanawake wanaocheat!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…