Unemployment is 3 times higher in Kenya than Uganda and Tanzania

babayao255

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
11,122
27,226
Wale propagandists wa Jubilee hii mbona hamkufungulia uzi!

Halafu mnapenda kujilinganisha na kuitaja taja ovyo Tanzania utadhani "tuliwapea ball" tukawaruka!

Pitieni na comments za kwenye hizi tweets.

Wana population ndogo kuliko Tanzania, and yet wako na high unemployment rate mara tatu zaidi ya Tanzania! Ukijumlisha na uchumi wao mbovu na low purchasing power ya currency yao bhas unapata jibu kwa nini hawa jamaa ni fyatu muda wote.

Hatari kubwa ipo kwa jirani yetu hapo.. no wonder anasumbuana na kila jirani yake.
 
Ndio maana wapo kwenye kundi la failed state.
 
Hata south africa ukosefu wa Ajira upo juu.. hiyo ndo shida ya inchi kudevelope.... watu wanasoma wengi halafu wanauza kubagua kazi za mkono na za jua kali wakibagua kazi wengi wanabaki unemployed. Si jipya hilo
 
Uchumi upi mbovu? Hata huna haya ulisema... south africa ina high unemployment pia. Pia wao uchumi wao mbovu? Nkt! Inchi ikianza kudevelop wananchi wanaanza kutaka better jobs wanakataa kazi duni kusababisha wengi Kubaki unemployed lakini ikiendelea hivo innovation will kick in that's how a country develops
Wana population ndogo kuliko Tanzania, and yet wako na high unemployment rate mara tatu zaidi ya Tanzania! Ukijumlisha na uchumi wao mbovu na low purchasing power ya currency yao bhas unapata jibu kwa nini hawa jamaa ni fyatu muda wote.

Hatari kubwa ipo kwa jirani yetu hapo.. no wonder anasumbuana na kila jirani yake.
 
Naingia jukwaa la kenya walau nijue mawili matatu yanayoendelea huko ila nakutana na maada kibao za watu kama nyie mnaanzisha maada za kutambiana flani ivi.

Haya sasa huku tz hali ya ajira vp, tangu kwaka 2015 walimu wengi wakaachwa kuitwa kazini wakimaliza vyuo na hadi leo wengi sana wapo mtaani.

Ajira za walimu zikitangazwa jina moja linachaguliwa mara tatu na mengine ni majina hewa ambayo hayo kwente matokeo ya sekondari.

Hakuna kipindi ambacho ajira zinekuwa ngumu sana kupatikana kama sasa Tz, hali inabadilika maana graduates ni wengi na biashara kibao zinafungwa, kuna ndugu yangu alikuwepo fastjet yupo kitaa baada ya kampuni kufungwa ili air tanzania isipate ushindani mkubwa.

hizi maada zenu hizi, Watz kama nyie mnatuaibisha,
 
Back
Top Bottom