elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Kuna watu wanapenda kuchosha wenzao tu,nimejaribu kuitembelea hiyo app hii ndio summary yake ni kuwa kutakuwa na mkutano wa mazingira chini ya umoja wa mataifa kuanzia 23/june 2014-27th june- Nairobi (united Nation Environment Assembly-UNEA) kwa hiyo hiyo app itakupatia documents zote za mkutano huo,schedules ,working docs,lorodha ya wahutubi,waoneshi,videos na blogs za UNEA.Ina husu nini mkuu..
Kuna watu wanapenda kuchosha wenzao tu,nimejaribu kuitembelea hiyo app hii ndio summary yake ni kuwa kutakuwa na mkutano wa mazingira chini ya umoja wa mataifa kuanzia 23/june 2014-27th june- Nairobi (united Nation Environment Assembly-UNEA) kwa hiyo hiyo app itakupatia documents zote za mkutano huo,schedules ,working docs,lorodha ya wahutubi,waoneshi,videos na blogs za UNEA.
a single use app then unataka downloads 20000?
Kwi kwi kwi, nilifikiri ni app ambayo tunaweza mpiga tough Mtanzania mwenzetu. Sasa sisi ambao hatuhudhurii huo mkutano hiyo app tuifanyie nini?
Kwa hiyo tukisha download? itatusaidia nini na sisi hatushiriki huo mkutano? kwa hiyo kwakuwa ni mbongo mwezetu hata kama akituletea program za pono pia tumsapoti kudownload sio? hebu tuache huko bwana.Sijatengeneza hiyo app na wala aliyeitengeneza simjui, ila tu ni kwamba anahitaji support na katika maelezo yake anahitaji downloads 20,000 kutimiza lengo.
Mbona app zipo nyingi ambayo app moja unakuta ina downloads zaidi ya 100,000
Kwa hiyo tukisha download? itatusaidia nini na sisi hatushiriki huo mkutano? kwa hiyo kwakuwa ni mbongo mwezetu hata kama akituletea program za pono pia tumsapoti kudownload sio? hebu tuache huko bwana.
Sijatengeneza hiyo app na wala aliyeitengeneza simjui, ila tu ni kwamba anahitaji support na katika maelezo yake anahitaji downloads 20,000 kutimiza lengo.
Mbona app zipo nyingi ambayo app moja unakuta ina downloads zaidi ya 100,000
Sasa mkuu sie tuna support vipi app ambayo hata ukidownload huna matumizi nayo?ndio maana nasema unatuchosha !au unafikiri ni wajibu kusupport chochote kutoka kwa jamaa yako hata kama hakina tija nanyi kimantiki?
Inaweza kuwa muhimu kwao ,lakini wewe umetaka support ya jumla jumla kama vile tuna vote kwa mwafulani awe miss world au bin fulani akwae tuzo za BET!"hiyo haikuji bhana"Tatizo unafikiri watu wote humu wako sawa mkuu. Lakini wapo wana mazingira mfano mimi mwanamazingira pia na ndio maana nimefahamu kuhusu hii app japo kusema kweli haipp smooth but ni kazi yake ya kwanza nadhan may be atatoa updates.
Kwa wana mazingira na wengine wanaopenda kufahamu kuptia humu we hudhani kama inaweza kuwa muhimu kwao?
Inaweza kuwa muhimu kwao ,lakini wewe umetaka support ya jumla jumla kama vile tuna vote kwa mwafulani awe miss world au bin fulani akwae tuzo za BET!"hiyo haikuji bhana"