View attachment 496344
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? Au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts na biashara? Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwenye majina 3000 hayataonekana?
Sitaki kuamini, kuwa walikosea kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili lakini hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.
Sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. Serilkali ni yetu sote.
Simbachawene au Kairuki unatuambia imekuaje hapo?[/QUOTE
Bora walimu mcheki fursa nyingine mwaka wa tatu huu utashtukia 2020 hiyo, hakuna namna sasa😀😀
Soma title za documents..Ku
Mbuka kuna shule ilichukuliwa na serikali na akaseema hao walimu watawaajiri..
Labda ndo hao.
Wangetafuta ustaarabu mwingine... Hapo hiyo ni hoja.Kumbuka ile shule ya umoja wa wazazi Bukoba ambayo katika ziara ya mh raisi mkoni kagera aliomba shule hiyo iwe ya umma na walimu wake hapo wapewe ajira serikalini, kwaiyo hakuna ajabu ndio hivyo kwaiyo punguza mawazo
Wale walikuwa kwenye ajira tayari, wakati shule ikiwa ni ya Jumuiya ya wazazi! Hivyo shule ilivyokuwa ya serikali inabidi waendelee kwenye ajira yao. Ile shule ni ya Advanced level pekee, ndiyo maana wale wenye diploma au wanaofundisha masomo ambayo hakuna mchepuo wake wamepangiwa shule nyingine ndani ya Manispaa ya Bukoba. Hivyo hakuna undugulization wowote uliofanyika.Wangetafuta ustaarabu mwingine... Hapo hiyo ni hoja.
Kuna walimu wa arts zaidi ya 7000 wa ziada... Nisingetegemea waajiri zaidi ya kuhamisha. Au haujasikia ile ya walimu wa sekondari arts kuhamishiwa shule za msingi???
sometime kama hii kadhia haijakikuta "you shut the fu.ck up"Wewe inakuhusu nini
wameshasema kuna idadi kubwa ya ziada ya walimu wa masomo ya art ambao tayari wameajiriwa. Hakukuwa na sababu ya kuajiri tena BUT wangewahamisha ambao tayari wapo kwenye systemUtajuaje labda shule hizo zilikuwa na uhitahi huo wa walimu
Hiyo ndio hoja yangu...wameshasema kuna idadi kubwa ya ziada ya walimu wa masomo ya art ambao tayari wameajiriwa. Hakukuwa na sababu ya kuajiri tena BUT wangewahamisha ambao tayari wapo kwenye system
Kwahiyo na hilo lilikuwa linasubiri mchakato mzima wa walimu wa sayansi na hisabati??vijana Wa siku hizi mnatumia mda mwing Facebook hata taarifa ya habari hamuangalii..mleta mada in umekurupuka sana..Simbachawene alishalitolea maelezo ,Rais alitoa order walim wrote waliokuwa wanafundisha omumwan kabla ya kichukuliwa na serikali waajiriwe bila kujali course zao
Nyie ndo FaizaFoxy anasema mlikwenda shule kusomea ujinga. Hiyo orodha ni ya waalimu wa Sayansi au Arts? Kwa uelewa wako ni shule ipi ambayo haina uhitaji.Utajuaje labda shule hizo zilikuwa na uhitahi huo wa walimu
Watanzania tuko vizuri sana katika kutumia loopholes kama hizo.hatujifunzi tuuu,kama inabidi kukiuka basi vigezo viwe wazi.Utajuaje labda shule hizo zilikuwa na uhitahi huo wa walimu