Hii Ni aibu. Hivi JPM Na ukali wake wote Watu bado wanafanya magumashi? Kweli wabongo noma. ukute kuna na vyeti hewa HapoView attachment 496344
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts NA biashara?.
Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwny majina 3000 hayataonekana?
sitaki kuamini, kuwa walikosea. kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili. lakin hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi. na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.
sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. serilkali ni yetu sote.
simbachawene au kairuki utuambia imekuaje hapoooo?
Mbuka kuna shule ilichukuliwa na serikali na akaseema hao walimu watawaajiri..Hii Ni aibu. Hivi JPM Na ukali wake wote Watu bado wanafanya magumashi? Kweli wabongo noma. ukute kuna na vyeti hewa Hapo
ushawachomea utambiView attachment 496344
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts NA biashara?.
Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwny majina 3000 hayataonekana?
sitaki kuamini, kuwa walikosea. kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili. lakin hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi. na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.
sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. serilkali ni yetu sote.
simbachawene au kairuki utuambia imekuaje hapoooo?
Kumbuka ile shule ya umoja wa wazazi Bukoba ambayo katika ziara ya mh raisi mkoni kagera aliomba shule hiyo iwe ya umma na walimu wake hapo wapewe ajira serikalini, kwaiyo hakuna ajabu ndio hivyo kwaiyo punguza mawazoView attachment 496344
Serikali imetangaza ajira ya walimu wa sayansi na hisabati na kuacha walimu wa arts hivi juzi tu. Najiuliza ni mtaaala gani wa TZ unaosema History, Kiswahili ni sayansi? au history, geography ni sayansi?
Nani alikosea katika kupanga hayo majina ya mwisho ambao wanaonekana ni walimu wa arts NA biashara?.
Au ni watoto wao walikuwa wanaamini majina 3 matatu kwny majina 3000 hayataonekana?
sitaki kuamini, kuwa walikosea. kwakuwa utaratibu wa upangaji hakuna walimu wa sayansi walioenda shule moja walimu wawili. lakin hapo inaonekana walimu watatu wamepangwa shule moja ya OMUMWANI ambao wawili wa arts na mmoja wa sayansi. na mwingine wa biashara kwa masomo ya book keping na commerce kupangwa BUKOBA SEC.
sisi wengine vepeee au tutafute refariis kama hao wenzetu. serilkali ni yetu sote.
simbachawene au kairuki utuambia imekuaje hapoooo?
Hata kusoma comments zilizotangulia huwezi... Huu ni zaidi ya upoyoyo..Nakuhakishia huo ni msala...time will tell. Vibarua vitaota mbawa. Hapo...
kwa misingi hiyo walimu shule hiyo itafundishwa hiyo majina machache yaliyotoka? fikiri vizuri nani amekosea aliyetangaza majina ya walimuwa sayansi au niliyeshangazwa na majina ya arts kuyaona kwnye post za ajira ya sayansi?Hao wamepewa kazi kihalali!
Kama unakumbuka,hio shule ya OMWAMI ilikuwa ya Chama Tawala,na baada ya Mhe Rais kuitaifisha,walimu waliobakia hapo waliahidiwa ajira!