Undisputable: CHADEMA wamehalalisha rushwa

Undisputable: CHADEMA wamehalalisha rushwa

Tatizo act, kila wakilala wanaota chadema, wakinywa maji wanaona chadema, mtapiga kelele, poleni kwa mbunge mmoja out of 240
 
Huu ni ukweli ambao ni Mchungu kwa watu wengi kuusikia ni kuwa Chadema imeshakufa hivyo... kwa sababu kazi ambayo Dr Magufuli ataifanya ni kuwa CHADEMA watakosa cha kunadi 2020 na hawatakuwa na jipya...

kwa sababu kazi ambayo Dr Magufuli ameifanya itakuwa ni kubwa mno.

na wagombea wake watakuwa hawana sifa ukizingatia 2015 walishaharibu kwa kumwingiza lowassa kuwa ndio mgombea urais kwa mwamvuli wa ukawa ile ilikuwa ni karata mbaya sana kwa chadema

na cha ajabu wasomi ambao wako chadema sijui kwanini hawakumshauri mbowe kuwa anakiua chama wenye akili zaoo kina Lipumba na Slaa wakakaa pembeni

nilishasemaga hapa na nitasema
chadema ilikuwa na watu vichwa ambao wangeisaidia kufika mbali kama kina ZITO NA MKUMBO sasa hawa watu wameonekana hawafai badala yake watu wanaonekana ni vichwa ni

lema, nasari, sugu, jay, kiria,kileo unategemea kuna kitu hapo??
 
Umesema ukweli mtupu, hongera. Wanachadema wengi hawaelewi neno hili MFUMO hasa lilipotumika na viongozi kumhalalisha EL kwao. Waliwaambia kuwa ni fisadi lakini ameathirika na MFUMO. Kwamba hata malaika akiingia ccm atageuka na kuwa shetani. Sababu MFUMO. Kwa taarifa wana-cdm, si wote ndani ya ccm wako ktk. MFUMO unaolalamikiwa. Tafuteni ndani ya ccm nani wako ktk. MFUMO na kiongozi ni nani. JPM si sehemu ya MFUMO na ndio maana tukampa urais. OK?
 
acha kuweweseka wewe....mwishoni utaniita baba yako!

NCCR ina miaka mingapi? japo walikuwa chini ya UKAWA? chadema imepoteza vingapi?? we poteza muda weka chuki kwa zitto uone kama zinakusaidia wewe binafsi na chama chako
Unaelekea walipo Mrema na Cheyo. Wote nyie ni watu wenye tabia zinazofanana. Mnataka muwe maarufu kuliko vyama vyenu na mnataka muabudiwe. Anyaway najua nyie na kina Mrema ni watu wa dili na hamna upinzani wa kweli!
 
kuwa chadema ni wahuni?

Mkuu, kwani wewe ni mwana-Chadema? Kama jibu ni ndiyo, sina swali jingine...lakini kama ni hapana then you should be able to guess what my opinion is about you!
 
lazima ikuume kwa wewe kada wa chadema

vipi mkeo wamempa viti maalumu? kubenea wake kapata

Ahh mkuu!! mke wa kubenea kapata viti maalum..???!!! hahaha!!

CDM ni milki ya watu wachache walishika akili za "malofa" kama mh mkapa alivosema....

falsafa yao ya kupinga ufisadi walimuuzia lowassa ...
 
Back
Top Bottom