Kipindi kama hiki cha kuelekea katika uchaguzi ambacho tunakipitia, kwa wenzetu hasa nchi za magharibi, huwa kuna kundi la wapiga kura ambao bado hawajaamua kura zao wampe mgombea/chama gani [undecided voters], kundi hili hufikia maamuzi baada ya tafakuri ya kina kuhusu sera na mikakati ya chama/mgombea husika.
Swali langu: je hapa kwetu tuna kundi hilo la watu ambao hawajaamua bado wanasubiri sera/mikakati ya vyama/wagombea au walishaamua nani watampa kura zao mara baada ya watangaza nia kupitishwa na Tume?