Undanganyifu katka mapenzi

Wengi wapo kimasilahi zaidi ingawa wapo baadhi wenye mapenzi ya kweli, don't give up brother, u'll find a good woman somedays.
 
Mfumo wa maisha wa sasa unawafanya wawe hivyo!! Utandawazi nao umesaidia kubadili tabia za binadamu kwa kiasi kikubwa, kutokana na ukweli kuwa saizi binadamu anayo nafasi ya kuona mambo mengi kutoka kila pembe ya dunia na kujaribu.
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kununua vitu toka nchi za nje kwa kutumis mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…