Transistor JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,061 Reaction score 1,639 Jul 1, 2015 #1 Kifaa hiki kinaweza kutumika kwa ajili ya Kurushia mawimbi ya radio umbali wa kilometer mbili, Mdau mmoja wa Kariwa Tabora ambae amefunga Transmitter hii kasema imerusha mawimbi Hadi kilomiter tatu. Unaweza kutumia kifaa hiki kama radio ya matangazo kama unakibari kutoka TCRA Vitu vya hapa vinavyo takiwa kuongezeka ni mixer pamoja na mic Ya kutangazia.
Kifaa hiki kinaweza kutumika kwa ajili ya Kurushia mawimbi ya radio umbali wa kilometer mbili, Mdau mmoja wa Kariwa Tabora ambae amefunga Transmitter hii kasema imerusha mawimbi Hadi kilomiter tatu. Unaweza kutumia kifaa hiki kama radio ya matangazo kama unakibari kutoka TCRA Vitu vya hapa vinavyo takiwa kuongezeka ni mixer pamoja na mic Ya kutangazia.
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Jul 1, 2015 #2 Labda zenji ndo kitawafaaa.....maana kule hata ukipiga firimbi tu wanakusanyika wananchi wote.
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Jul 1, 2015 #3 How much
mbeyaboyfrancy JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 248 Reaction score 91 Jul 1, 2015 #4 kinauzwaje iko kifaha
Alii.mohd61 Member Joined Nov 17, 2013 Posts 73 Reaction score 18 Jul 1, 2015 #5 MeinKempf said: Labda zenji ndo kitawafaaa.....maana kule hata ukipiga firimbi tu wanakusanyika wananchi wote. Click to expand... Una uhakika?????
MeinKempf said: Labda zenji ndo kitawafaaa.....maana kule hata ukipiga firimbi tu wanakusanyika wananchi wote. Click to expand... Una uhakika?????
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Jul 1, 2015 #6 Alii.mohd61 said: Una uhakika????? Click to expand... ndio...mbona hata mh. kessy alilithibitisha hilo bungeni.
Alii.mohd61 said: Una uhakika????? Click to expand... ndio...mbona hata mh. kessy alilithibitisha hilo bungeni.
Magesse89 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 234 Reaction score 44 Jul 1, 2015 #7 MeinKempf said: Labda zenji ndo kitawafaaa.....maana kule hata ukipiga firimbi tu wanakusanyika wananchi wote. Click to expand... Hiki kifaa kinafaa kwa radio za vijijini kwan wao hutumia jembe,ngoma na filimbi
MeinKempf said: Labda zenji ndo kitawafaaa.....maana kule hata ukipiga firimbi tu wanakusanyika wananchi wote. Click to expand... Hiki kifaa kinafaa kwa radio za vijijini kwan wao hutumia jembe,ngoma na filimbi
Dola Iddy Wa Chelsea JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,533 Jul 7, 2015 #8 Bei yake?
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,700 Jul 7, 2015 #9 Mkuu una matatizo ya "L" na "R"