Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

Tuongee ukweli jamani. Pesa inanafasi yake. Kama huna pesa ya kumtoa out baby wako atakuwa bored tu. Fikila mnaambiana I love you bila ya pesa. Mtaishia tu kuwa visilani
 
Iko hivi nimewah kuwaza sana kuhusu mahusiano na kunifanya nitaman kuona mahusiano yanadumu.

Nilichofanya wengi sana hasa vijana wa siku hizi hupenda sana tena sana lkn wakasahau kwamba ghrama za upendo si show offs, sio material things, sio urembo ama utanashati bali ni vitu ambavyo havishikiki wala havionekani kwa macho.

Tena ni vile vitu ambavyo vinaongozwa zaidi na itash kuliko mihemko ama hisia.

Siku zote nasema upendo hukaaa moyoni, na moyo ni mdanganyifu mnake hauna utashi wa kupambanua mambo. Hivyo ni kosa sana kupenda kwa moyo. Manake ukikosewa kidogo tuu moyo hujaa maumivu tena yaliyobeba. Moyo huu huvuja damu na wala hauwez kupambanua.

Penda kwa akili. Akili unao utashi itakuonyesha what to take and what to ignore. Hata pawe na kosa ama jaribu mlima kwenye mahusiano yako akili italipambanua na kisha kukupa best solution out of many choices.

Akili haivujagi damu, akili hutanguliza priorities, akili hukupa alternatives akili inakilupa solution and ways to do things.

Ukipenda kwa akili, cha kwanza itakuambia heshima manake inajua mahusiano yenye nguvu yamejemgwa kwenye heshima kwanza na heshima hii ni kwenye Kila kitu.

Ukiwa na heshima. Utajua muda gani ni wa mm na.mwenzangu na muda gani ni wa mm kama mm. Nikiwa na mwenzangu nifanye yepi na nikiwa alone nifanye yepi. Hapa nina mdogo wa mume nifanye lipi sahihi na hapa Pana Jiran nitende lipi kwa heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still Thrilling Gfsonwin
Malezi(narture) na makuzi yanamchango mkubwa natika kujenga akili na heshima unazozizungumzia."hujaona vijana wengi wa siku hizi(90's) wanavijitabia ambavyo viko tofauti sana na 60's,70's,80's?but still ukimuuliza ye anaona yuko sawa.niko na wewe same side katika mambo unayozungumza,nakuja PM Tuendeleze mada

Good Neighbour
 
Kote huko sawa ila hapo pa kutumia muda mwingi kumjua , ndio shida maana wengine wanatumia saa kumjua
 
Nakubaliana sana na ww kwamba malezi yanamchango sana katk kujenga nidhamu.

Lakin pia kuna swala Zima la mazingira yanayotuzunguka na aina ya mifano tunayokutana nayo.

Lkn kuna jambo kubwa zaidi ya yote ambalo lenyewe husimama na kusawazisha yale ambayo malezi ya wazazi na mazingira yalikosea nalo ni swala la dini.

Vijana wa siku hizi wakasahau mafundisho ya dini. Wanajiamericanize sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Still uko upande wangu,mazingira niyemataja kama makuzi kwenye maelezo yangu.apo ulipoweka dini ndo kwenye msumari,pazuri apo
Njoo PM

Good Neighbour
 
Mim siumizwi wala kujali mapnzi jombaaaaaaa,,,mim naumizwa na helaa(mulaaaa)

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…