Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

Huko kujuana ndo vipi eti, maana mijitu inaficha hali zao halisi hadi unapoingia mkenge ndo anafichua makucha, acha tu tukomae na hali zetu unconditional love haipogo siku izi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha,singida girl

Good Neighbour



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unconditional Love kwenye vitabu vya dini hata Mungu ilimshinda.

Sema jingine.

Sent from my Kimulimuli
 
Unconditional Love kwenye vitabu vya dini hata Mungu ilimshinda.

Sema jingine.

Sent from my Kimulimuli
Kuhukumu???

Hahaha, ila wengine wanakuambia hiyo ni unconditional love.
 
Kuhukumu???

Hahaha, ila wengine wanakuambia hiyo ni unconditional love.
Anything that exists in time is conditioned by the second law of thermodynamics, that is, entropy increase, that is, decay and disintegration due to time.

In other words, as long as something exists in time, it is conditional.

"Unconditional Love" is a lazy expression of the hippie culture and its parent of mysterious mysticism that penetrated undiscerning minds that are yearning for meaning in an increasingly volatile and dispersed world.

You dig?

Sent from my Kimulimuli
 
Wengine hawakuangalia hizo soulmate wala perfume wala time.nk na wanaishi maisha ya upendo na amani.

As for me hayo ni mapenzi ya kinadharia sanaaa.

Mapenzi ya dhati yamejengwa katika msingi wa heshima, uvumilivu, ywajibikaji na mwisho ndio upendo wenyewe.

Siku zote nimekua napingana sana na watu wanaodhani kwamba upendo ndiyo yanatangulia. Mie nasema hivi kinachotangulia ni heshima, ikafuatwa na uvumilivu kisha uwajibikaji na mwisho ndio upendo.

Ukiheshimu hutafanya makosa ya kukusaidia na pia utakuwa ba woga wa kuumizwa.

Ukivumilia hapa hutaendeshwa na moyo bali na akili hasa katika makosa ambayo mwenzako atayafanya. Moyo siku zote ni.mdanganilyifu. ila akili hukupa kuamua kwa hekima.

Ukiwajibika utawajibika kama mwenza kwenye Kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Despotically, I real dig a heavy rock.

Likewise "Unconditional love" is a laziness appetency in love realm and its "Daruru" syndromes to those who endeavor it.
 
Kwa maelezo yako heshima ndo elementary reason inayopelekea love,au nimekosea? "Somehow true,ila sidhani kama ina work to every relation that exists".Heshima ni kiungo kizuri cha kuboresha na kudumisha uhusiano
Otherwise nimekuelewa

Good Neighbour
 
Kwa maelezo yako heshima ndo elementary reason inayopelekea love,au nimekosea? "Somehow true,ila sidhani kama ina work to every relation that exists".Heshima ni kiungo kizuri cha kuboresha na kudumisha uhusiano
Otherwise nimekuelewa

Good Neighbour
Blv me mtu asiyeheshimu hawez kupenda hata kidogo. Unless uwe unayaongelea mapenz ya bongo movie.

Mapenz ya kuish as Mr& mrs lazima heshima itangulie vyote. Heshima hii itaanzia kwako binafsi as utajiheshimu, huta vaa Nguo zenye mikato ya ajabu, hutapiga picha za hovyo, hutaanza kukata mauno hovyo nk. Na hapo ukifaulu utaenda kwenye kumheshimu mwenzio na wale wanao wazunguka.

Ukitaka kuamini just be open and tell us siku ya kwanza mkeo kwenda kwenu yaan ukweni halafu akaamka kwa heshima akakoka moto akatenga chai kisha akawaandalia wazazi wako kwa heshima ulijiskiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vyema sana unafanya mada iwe thrilling,nimependa
Sikupingi hata kidogo kwa suala hilo la heshima.nachozungumza mimi ni kuwa "kama vile upikavyo mboga kunakua na viungo vya aina nyingi ili kukamilisha pishi zuri" basi ndoa au mahusiano bora huitaji nguzo zaidi ya moja kudumu muda mrefu zaidi(kudumu ndio key factor),hivyo heshima ni ingredient kubwa zaidi kama ilivyo chumvi kwenye mboga.
NB ; napenda unavyojenga hoja vizuri,it's nice sharing with you mkuu

Good Neighbour
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…