Asantezari ni very strong kwakweli..amedhalilishwa vya kutosha kisa mali....anasemwa ye ndo anamezea mate urithi..kumbe wapo wengi wanafki wasiochoka kunyooshea vidole wenzao
huyo mjomba hana haya wala hiyana kuomba eti watoto wakapimwe DNA kisa mali za marehemu!??
haoni kama anamdhalilisha zari mbele ya watu?
hivi ivan angekuwa hai angeweza kuongea hili?
miaka yote hiyo kama mjomba anamuona kabisa ivan anazaa watoto akiwa kwenye ndoa na zari..ivan yupo very proud na wanae na anakuwa responsible father..leo unasisitiza dna eti tujue if they are ivans blood kids or not...na majibu mkienda kufanya rafu zenu mkaja kuonyesha sio watoto wa ivan nini kinafuatia?
mroho wa mali ni ndugu wa ivan au zari??
acheni unafki
Kila mtu ana mapokeo tofauti mimi kuna mama mdogo cku mmewe anafarikia hakutoa chozi hata moja mpk wanazika instead alikua tu analala bila kuongeahuyo ndo mme alomzalia watoto haijalishi yaliyotokea? Hivi anashindwa kuvuta hisia yale mazuri waloyapitia
Duh wabongo tabu hata kunywa haruhusiwiWadau wamtukana zari baada ya clip hii akigonga kinywaji walipokuwa akielekea kwenye mazishi kuvuja.
Je asinywe kinywaji?
Akilia nakujigaragaza talaka itamhusu kwa mondSio mume ni ex-mume. Kujigaragaza kutasaidia nini?
wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Siku akifa Mond ndio itakuwa shughuli maana ataachiwa mali zote ndio hawa wazaramo wa Kigoma watakesha na kulala Instagram
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]wana bendi ya kupiga yowe inakodishwa kabisa inaendaga hadi zambia wapi malawi kupiga yowe la hatari na maspika ya kutosha
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
ishiii hiyo ni defence kuwa alilia hospital? Hana jipya kumwacha mmewe kaolewa kwa mdogo wake ni aibuUngeelewa hata kidunchu cha alichoelezea leo husinge andika haya. Alisema ameqnza kulia tangu Hospitali na hata alipofariki saza hadi leo ni siku ngapi!? Na pia mbona wengi nchini uongea mbele ya watu wakifiwa..
Pia jana alipofika Uganda alilia sana esp nyumbani walipokuwa wanapiga nyimbo na watu kumsalimu.
misiba ya kibosbosi hiyooo halii bali anachekeleaWatu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
kwa the woman tunaweza sema ok no more feelings at all je vipi kuhusu hao madogo? dry faces as if nothing serious happened duh..au nyie mnaonaje waungwana...anyways ya ngoswe tumuachie ngoswe.Sio mume ni ex-mume. Kujigaragaza kutasaidia nini?
hao watoto ni wadogo Sana,miili isikudanganye.kwa the woman tunaweza sema ok no more feelings at all je vipi kuhusu hao madogo? dry faces as if nothing serious happened duh..au nyie mnaonaje waungwana...anyways ya ngoswe tumuachie ngoswe.