Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Leo nipo Dom nimekutana na Ex wangu wa zamaaaaaaniiii wakati nina miaka 17
Sio PUNDA baada ya PUNDA wa Hadithi ya Mtu Chake
kha! yule kaka mpaka ameniachia niolewe na huyu Mume wangu ilikuwa mbindeee
hii ni stori ingine kwa kitabu kingine kwa malipo ya mbeleni kwenye website yangu
Anywho! This ex buanaaa alikuwa anaupendaje huu wimbo akiimba mwili wangu wote unapata Goose-Bumbs!
Mwanaume anaimbaaaaaa... ana mahaba kama Mtanga!
Nikajipigia mahesabu nikaona hapa sio nisijeishia kuwa Yondo Sister bila kutarajia
Siku nambwaga, Dar nilipaona padogo!
Sasa leo kanifuma Dom, kukimbia siwezi nimewekwa kwenye viti virefu, aliponiona hakuamini:
Inshort nimetolewa under his Guidance alafu alivyo Boya wakati naelekea nje anaanza kuniimbia wimbo wa Tony Braxton:
Don't leave me in all these pain
Dont leave me out in the Rian
Bring back the Nights when i held you besides me
Unbreak My Heart Oh Baby
Come Back and say, You Love ME
Unbreak MY Heart, Sweet Darling
Without You I just can;t go oooooooooooooooooooooooooooon
Oooooooooooooooooooooooooooooooooon
Oooooooooooooooooooooooooooooon
Can't go ooooooooooooooooooooon, woow!
mxiuuuu, embu nilale siku ya leo ishakuwa ya kiboya tu
Tunaanzishana mwezi wa 10 kinuksi nuksi tu
Hivi hizi Machine (Dyu Dyu) kwanini hazizeekagi?..
Good Song Though!